Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mkuu wa UNRWA atoa indhari: Israel inaelekea kufanya

    Mkuu wa UNRWA atoa indhari: Israel inaelekea kufanya "mauaji ya halaiki ya idadi kubwa" katika Mji wa Ghaza

    Oct 03, 2025 07:10

    Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), Philippe Lazzarini, ametahadharisha kwamba utawala wa kizayuni wa Israel inaonekana unapanga kufanya "mauaji ya halaiki ya idadi kubwa" katika Mji wa Ghaza huku ukiwa unashadidisha mzingiro wake na mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya mji huo.

  • FIFA iliyoipiga marufuku Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine yasema haiwezi kuchukua hatua dhidi ya Israel

    FIFA iliyoipiga marufuku Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine yasema haiwezi kuchukua hatua dhidi ya Israel

    Oct 03, 2025 07:04

    Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino amesema, taasisi hiyo haiwezi kutatua ‘masuala ya kijiopolitiki’, licha ya kuendelea kuandamwa na mashinikizo kimataifa ya kuitaka isimamishe uanachama wa Israel kutokana na vita vya kinyama na mauaji ya kimbari unayoendelea kufanya utawala huo wa kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ghaza, ambayo hadi sasa yameshateketeza roho za watu zaidi ya 65,000, wengi wao wakiwa wanawake na watoto.

  • Afrika Kusini yaitaka Israel iwaachie wanaharakati wa msafara wa Sumud

    Afrika Kusini yaitaka Israel iwaachie wanaharakati wa msafara wa Sumud

    Oct 03, 2025 00:00

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa jana Alkhamisi alitaka kuachiliwa mara moja kwa Waafrika Kusini na raia wengine wa kigeni wanaozuiliwa na jeshi la Israel, baada ya wanajeshi wa majini wa utawala huo haramu kushambulia msafara wa kibinadamu uliokuwa unaelekea Gaza.

  • Colombia yawatimua wanadiplomasia wa Israel kwa kuvamiwa msafara wa Sumud, yasema Trump ni wa kufungwa jela

    Colombia yawatimua wanadiplomasia wa Israel kwa kuvamiwa msafara wa Sumud, yasema Trump ni wa kufungwa jela

    Oct 01, 2025 23:55

    Colombia imewafukuza wanadiplomasia wa utawala wa kizayuni wa Israel kwa uchokozi uliofanywa na utawala huo ghasibu wa kuuvamia kijeshi msafara wa kimaataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa Ghaza kwa ajili ya kufikisha misaada ya kibinadamu; sambamba na hilo, serikali ya Bogota imehimiza rais wa Marekani Donald Trump afungwe jela kwa ushiriki wa Washington katika mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na jeshi la kizayuni katika eneo hilo la ardhi ya Palestina.

  • Wimbi jipya barani Afrika la kuunga mkono Palestina na kulaani Israel

    Wimbi jipya barani Afrika la kuunga mkono Palestina na kulaani Israel

    Sep 30, 2025 09:04

    Wananchi na viongozi wa nchi za Kiafrika wamelaani jinai za Israel katika wimbi jipya la kuwaunga mkono Wapalestina.

  • Israel yasitisha huduma uwanja wa ndege wa Tel Aviv kufuatia mashambulizi ya Yemen

    Israel yasitisha huduma uwanja wa ndege wa Tel Aviv kufuatia mashambulizi ya Yemen

    Sep 29, 2025 23:00

    Uwanja wa ndege mkuu wa Israel umesimamisha kwa muda safari za ndege baada ya jeshi la Yemen kufanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina 2 na ndege zisizo na rubani dhidi ya miji ya Tel Aviv na Eilat ya utawala wa kizayuni wa Israel.

  • Vipi Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limefikia natija ya kufanyika mauaji ya kimbari huko Gaza?

    Vipi Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limefikia natija ya kufanyika mauaji ya kimbari huko Gaza?

    Sep 28, 2025 22:46

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetangaza hatua za Israel huko Gaza kuwa ni mfano wa kisheria wa "mauaji ya halaiki."

  • Safavi: Marubani zaidi ya 16 wa Israel waliuawa katika vita vya siku 12

    Safavi: Marubani zaidi ya 16 wa Israel waliuawa katika vita vya siku 12

    Sep 28, 2025 07:32

    Mshauri mkuu wa masuala ya kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, zaidi ya marubani 16 wa Israel waliangamizwa katika vita vya siku 12 vilivyotwishwa Iran na utawala wa Kizayuni.

  • Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?

    Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?

    Sep 27, 2025 07:40

    Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran.

  • Kwa nini Israel inahofia maneva ya pamoja ya baharini kati ya Misri na Uturuki?

    Kwa nini Israel inahofia maneva ya pamoja ya baharini kati ya Misri na Uturuki?

    Sep 26, 2025 05:53

    Kuanza tena meneva ya kijeshi kati ya Uturuki na Misri, sambamba na kupelekewa idadi kubwa ya wanajeshi wa Misri katika Peninsula ya Sinai, kumeutia wasiwasi utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS