Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Qalibaf: Muda wa kumdhibiti mbwa kichaa wa Kizayuni unayoyoma

    Qalibaf: Muda wa kumdhibiti mbwa kichaa wa Kizayuni unayoyoma

    Aug 15, 2025 23:27

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Gaza ndiyo "ngome ya mwisho" ya Waislamu, na kusisitiza haja ya kuungwa mkono Palestina haraka iwezekanavyo, kabla ya ardhi nyingine katika eneo kushambuliwa na kuporwa na utawala ghasibu wa Israel.

  • Je, nchi za Amerika ya Kusini zimepokea vipi mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Gaza?

    Je, nchi za Amerika ya Kusini zimepokea vipi mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Gaza?

    Aug 15, 2025 22:47

    Nchi nyingi za Amerika ya Kusini zimekuwa na misimamo ya kukosoa waziwazi mpango wa utawala wa Kizayuni wa kuikalia kijeshi Gaza. Bila shaka, baadhi ya nchi, kama vile Argentina, zimechukua msimamo tofauti wa kuiunga mkono Tel Aviv.

  • Uhamiaji wa kulazimishwa dhidi ya Wapalestina wa Gaza; kwa nini Israel inaitazama Afrika?

    Uhamiaji wa kulazimishwa dhidi ya Wapalestina wa Gaza; kwa nini Israel inaitazama Afrika?

    Aug 14, 2025 01:03

    Katika hali ambayo vita vya Gaza vinaendelea na hali mbaya ya kibinadamu katika ukanda huo imefikia kiasi kwamba makumi ya wakazi wa Gaza wanakufa kila siku, si tu kwa kupigwa risasi na askari wa Israel bali pia kutokana na njaa na kiu kali, Israel inafanya mazungumzo na nchi kadhaa za Kiafrika ili kuwahamishia huko kwa nguvu wakazi wa Gaza.

  • Takwa jipya la Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa Jamii ya Kimataifa kuhusu utawala wa Kizayuni

    Takwa jipya la Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa Jamii ya Kimataifa kuhusu utawala wa Kizayuni

    Aug 12, 2025 02:35

    Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufukuzwa timu za michezo za utawala wa Kizayuni katika mashindano ya kimataifa.

  • Kwa nini India inashirikiana na utawala wa kizayuni wa Israel?

    Kwa nini India inashirikiana na utawala wa kizayuni wa Israel?

    Aug 08, 2025 22:59

    Katika miaka ya hivi karibuni India na utawala wa Kizayuni zimeanzisha uhusiano mkubwa katika sekta nyingi za kiuchumi, kijeshi na kisiasa.

  • Kwa nini wabunge wa Bunge la Ulaya wametaka kusitishwa ushirikiano na Israel?

    Kwa nini wabunge wa Bunge la Ulaya wametaka kusitishwa ushirikiano na Israel?

    Aug 08, 2025 09:12

    Katika barua rasmi kwa viongozi wa Umoja wa Ulaya, wawakilishi 41 wa Bunge la Ulaya wametaka kusitishwa uhusiano wa kibiashara na kusimamishwa utekelezwaji wa makubaliano ya ushirikiano na utawala ghasibu wa Israel.

  • Tsunami ya chuki; Imekuaje Israel imeondokea kuwa utawala unaochukiwa duniani?

    Tsunami ya chuki; Imekuaje Israel imeondokea kuwa utawala unaochukiwa duniani?

    Aug 06, 2025 00:27

    Katika wiki za hivi karibuni, maafisa na takwimu za Israel zimeelezea mara kwa mara wasiwasi wao juu ya kuongezeka kwa chuki ya kimataifa dhidi ya utawala huo ghasibu.

  • Vipi gharama za kijeshi zimeusukuma uchumi wa Israel katika ukingo wa shimo?

    Vipi gharama za kijeshi zimeusukuma uchumi wa Israel katika ukingo wa shimo?

    Aug 04, 2025 22:58

    Viashiria vya ukuaji wa uchumi wa utawala wa kizayuni wa Israel vinapungua, na inatarajiwa kwamba athari mbaya za vita vinavyoendelea vya Gaza na vita vya siku 12 dhidi ya Iran vitazidi kuwa na taathira hasi kwa mwenendo wa kiuchumi wa Israel katika nusu ya pili ya mwaka huu.

  • Albanese: Magharibi haiwi na uwezo wowote wa kutekeleza sheria za kimataifa inapohusu Israel

    Albanese: Magharibi haiwi na uwezo wowote wa kutekeleza sheria za kimataifa inapohusu Israel

    Aug 03, 2025 02:11

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa hali ya haki za binadamu katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu amesema, nchi za Magharibi haziwi na uwezo wowote wa kutekeleza sheria za kimataifa inapohusu utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Nchi za Magharibi zinaonyesha sura hasi kuhusu Iran ili kushughulisha maoni ya umma kutokana na mizozo ya ndani

    Nchi za Magharibi zinaonyesha sura hasi kuhusu Iran ili kushughulisha maoni ya umma kutokana na mizozo ya ndani

    Aug 02, 2025 10:34

    Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar iliripoti mnamo Julai 31, 2025 kwamba Uingereza na nchi zingine 13 ziliituhumu Iran kuwa inapanga kufanya mauaji na utekaji nyara katika nchi za Magharibi, madai ambayo yamekanushwa vikali na Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS