-
Netanyahu: Ni kweli tuliwaua kigaidi wanasayansi wa nyuklia wa Iran
Jul 13, 2025 03:27Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekiri kwamba utawala huo wa Kizayuni uliwaua kwa utaratibu maalum wanasayansi wa nyuklia wa Iran.
-
Nini madhumuni ya barua mpya ya Iran kwa Baraza la Usalama kuhusiana na uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Iran?
Jul 12, 2025 23:05Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, na kuwasilisha ripoti iliyosasishwa kuhusu uharibifu uliosababishwa na uvamizi mkubwa wa kijeshi na wa bila ya sababu wa utawala wa Israel dhidi ya Iran.
-
Tuhuma dhidi ya Iran zaendelea licha ya Grossi kukiri tena kwamba Iran haitengenezi silaha za nyuklia
Jul 11, 2025 23:04Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kuwa, hakuna ushahidi wa kuaminika kwamba Iran imepata silaha za nyuklia na kusisitiza ulazima wa kutatuliwa kidiplomasia suala la nyuklia la Iran.
-
Qalibaf: Waisraeli wasiopungua 500 waliangamizwa katika vita na Iran
Jul 10, 2025 23:41Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf amesema kusitishwa kwa uvamizi wa kijeshi wa hivi karibuni wa Israel dhidi ya Iran kulitokana na kushindwa kwa utawala huo, na wala sio kutokana na kujizuia kwa upande wake.
-
Unajua kwa nini Marekani imemuwekea vikwazo Ripota Maalumu wa UN kuhusu Maeneo ya Palestina Yanayokaliwa kwa Mabavu?
Jul 10, 2025 22:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, alitangaza Jumatano, Julai 9, kwamba atamuwekea vikwazo Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo ya Palestina Yanayokaliwa kwa Mabavu, kwa kile alichokiita "juhudi zisizo halali zinazohusiana na uchunguzi wake kuhusu vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza" na eti kwa kuchukua "hatua dhidi ya maafisa wa Marekani na Israel."
-
Ansarullah yaionya Israel: Haiyumkiniki kufungua bandari ya Eilat
Jul 10, 2025 17:19Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa, ni jambo lisilowezekana kufunguliwa tena kwa bandari ya Eilat (Umm al-Rashrash), akisisitiza msimamo thabiti wa Yemen wa kuendelea kutekeleza vikwazo vya baharini dhidi ya utawala ghasibu wa Israel katika Bahari Nyekundu, Ghuba ya Aden na Bahari ya Arabia.
-
Yemen yautwanga tena kombora uwanja wa ndege wa Ben Gurion, Tel Aviv
Jul 10, 2025 10:10Vikosi vya Jeshi la Yemen vimeshambulia tena kwa kombora uwanja wa ndege wa Ben Gurion mjini Tel Aviv katika kuwaunga mkono Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza huku utawala wa kizayuni wa Israel ukiendeleza vita vya kinyama na mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo uliloliwekea mzingiro.
-
Yemen yazamisha meli nyingine ikielekea Israel katika Bahari Nyekundu
Jul 09, 2025 14:38Yemen imeshambulia meli nyingine iliyokuwa inaelekea Israel, ili kuwaunga mkono Wapalestina wanaokabiliwa na mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Israel lakiri askari wake 5 wameangamizwa, 14 wamejeruhiwa Ghaza
Jul 08, 2025 08:52Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limetangaza kuwa askari wake watano wameuawa na wengine 14 wamejeruhiwa katika mapigano kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Askari wa Israel aliyekuwa vitani Ghaza na Lebanon ajiua ndani ya gari lake
Jul 07, 2025 15:34Tovuti ya Kiebrania ya Walla imeripoti kuwa, mwanajeshi wa utawala wa Kizayuni Israel, Daniel Edri, amejiua kwa kujichoma moto ndani ya gari lake kwenye msitu karibu na eneo la Safed, kutokana na msongo mkali wa mawazo baada ya kuhudumu kwenye vita vya kinyama vya utawala huo dhidi ya Ghaza na Lebanon.