-
Mwanasheria Mmarekani: Israel imeua Wapalestina 360,000 Gaza
Feb 12, 2025 23:21Mwanasheria mashuhuri wa Marekani na mwanaharakati wa haki za watu asilia anakadiria kuwa jeshi la Israel limewaua takriban watu 360,000 katika vita vyake vya mauaji ya kimbari vilivyodumu kwa muda wa miezi 15 katika Ukanda wa Gaza, akisema kwamba idadi ya vifo vya kweli katika eneo lililozingirwa ni kubwa zaidi kuliko takwimu iliyoripotiwa na vyombo vya habari.
-
Mpango wa Trump kwa ajili ya Gaza; njama za kuifuta Palestina
Feb 12, 2025 03:10Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria upinzani mkubwa wa nchi za eneo na kimataifa dhidi ya mpango haramu wa Rais wa Marekani kuhusu Gaza na kueleza kwamba, mpango huo wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Palestina kutoka Gaza kwa mujibu wa mpango wa kikoloni wa "kuifuta Palestina".
-
Wafanyabiashara Nigeria wataka kususiwa bidhaa za Israel
Feb 10, 2025 07:56Kundi moja la wajasiriamali wadogo na wa kati nchini Nigeria, limeandaa mkutano wa siku mbili katika Jimbo la Kaduna la kaskazini magharibi mwa nchi, kujadili mikakati ya kibiashara na umuhimu wa kususia bidhaa za Israel, ili kuonyesha uungaji mkono kwa kadhia ya Palestina.
-
Ben-Gvir: Israel imegeuzwa kuwa 'kioja' Mashariki ya Kati
Feb 10, 2025 07:55Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani wa Israel, Itamar Ben-Gvir amesema utawala huo wa Kizayuni umekuwa kioja na kichekesho katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kwa mara ya kwanza Gallant akiri kuwa Israel yenyewe iliwaua Wazayuni 1,200 Oktoba 7, 2023
Feb 07, 2025 07:44Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni Yoav Gallant amekiri kuwa utawala huo haramu ulitumia itifaki ya kutisha ijulikanayo kama "Hannibal Protocol" wakatii ya Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekelezwa na Hamas Oktoba 7, 2023.
-
Israel yashambulia Lebanon, yakiuka makubaliano ya usitishaji vita
Feb 07, 2025 04:22Jeshi la Israel limefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya maeneo tofauti ya kusini na mashariki mwa Lebanon, huo ukiwa ni ukiukaji mkubwa na wa wazi wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati yake na nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Corbyn: Israel inabeba dhima ya kuuawa Wapalestina ' 61,709' Gaza
Feb 04, 2025 23:11Kiongozi wa zamani wa Chama cha Leba nchini Uingereza, Jeremy Corbyn ameubebesha dhima utawala haramu wa Israel na wale ambao wanaendelea kuupelekea silaha utawala huo wa Kizayuni, kwa mauaji ya kimbari huko Palestina.
-
Kuongezeka mashinikizo dhidi ya watetezi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump
Feb 04, 2025 05:40Kwa kuanza muhula wa pili wa urais wa Donald Trump, pamoja na vitisho na hatua za serikali yake dhidi ya waungaji mkono wa Palestina, mashinikizo dhidi ya watu hao na harakati za ndani ya nchi hiyo pia zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
Hamas yawaachia huru mateka 3 wa Israel, mkabala wa Wapalestina 183
Feb 01, 2025 04:28Utawala wa Kizayuni wa Israel baadaye leo unatazamiwa kuwaachia huru mateka 183 wa Kipalestina, mkabala wa kuachiliwa Wazayuni watatu, katika awamu ya nne ya mabadilishano ya mateka katika Ukanda wa Gaza.
-
Mayahudi wa Marekani: Israel imeshindwa katika vita vya Gaza
Jan 30, 2025 23:22Zaidi ya asilimia 80 ya jamii ya Wayahudi wa Marekani walioshiriki katika uchunguzi wa maoni wametangaza kuwa, Israel katu haijapata ushindi katika vita vya Gaza.