-
Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari
Jan 29, 2024 03:34Sambamba na kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza na sambamba na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ ya kutoa hukumu dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa jinai zake hizo, hivi sasa wimbi la kulaani jinai za Wazayuni na waungaji mkono wake nalo linazidi kuwa kubwa, siku baada ya siku.
-
HAMAS: Netanyahu anataka kurefusha vita vya Gaza kwa malengo ya kisiasa
Jan 28, 2024 23:34Mwanachama mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kundi hilo la muqawama linataka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, lakini Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu anataka vita hivyo viendelee kutokana na sababu zake binafsi na za kisiasa.
-
WSJ: 80% ya handaki za HAMAS huko Gaza zingali zinafanya kazi
Jan 28, 2024 09:55Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limeripoti kuwa, asilimia 80 ya njia za chini kwa chini za Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza zingali zinafanya kazi, licha ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya eneo hilo lililozingirwa, tokea Oktoba 7, 2023.
-
Israel yapuuza amri ya ICJ, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza
Jan 27, 2024 08:22Utawala haramu wa Israel umedharau uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kuutaka uchukue hatua zote zinazohitajika kuzuia vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, na badala yake jeshi la utawala huo pandikizi limeendelea kumwaga damu za Wapalestina wa Gaza.
-
Uzayuni wa Kikristo na Israel
Jan 27, 2024 05:30Makala yetu ya wiki hii inahusu nafasi ya Uzayuni wa Kikristo katika kuendeleza vita vya Gaza na kuzuia amani.
-
Mahakama ya ICJ yaionya Israel na kuitaka iache kufanya mauaji ya kimbari Gaza
Jan 26, 2024 23:09Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeiamuru Israel iache vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina, na kuchukua hatua za kuwasaidia raia.
-
Afrika Kusini: Tunataraji ICJ itatoa hukumu ya kesi dhidi ya Israel Ijumaa
Jan 24, 2024 23:58Afrika Kusini imesema inatazamia hukumu ya kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza itatolewa Ijumaa ijayo.
-
Palestina: Kwa siku 108, Israel imeua watoto 11,000 na wanawake 7,500 Gaza
Jan 23, 2024 03:08Mamlaka za Palestina zimetangaza kuwa, jeshi vamizi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeua watoto 11,000 na wanawake 7,500 katika Ukanda wa Gaza na kuongeza kuwa jeshi hilo katili limedondosha zaidi ya tani 65,000 za mada za miripuko katika vita vya upande mmoja lilivyoanzisha dhidi ya Wapalestina waliowekewa mzingiro.
-
Axios: Israel imependekeza kwa HAMAS mpango mpya wa kubadilishana mateka
Jan 23, 2024 02:29Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umependekeza kwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS mpango mpya wa kubadilishana mateka kupitia "usitishaji" mapigano kwa muda wa hadi siku 60 ili mateka wote waliosalia, ambao wanashikiliwa na harakati hiyo, waweze kuachiwa.
-
Misri yaionya Israel kutoudhibiti Ukanda wa Philadelphi kwenye mpaka wa Palestina
Jan 23, 2024 02:04Misri imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba jaribio lolote la kuikalia kwa mabavu sehemu ya ardhi inayotenganisha eneo la Wapalestina lililozingirwa la Ukanda wa Gaza na Misri, linalojulikana kama Korido ya Philadelphi, litakuwa ni "tishio kubwa" kwa uhusiano kati ya pande hizo mbili.