Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Italia

  • Alkhamisi, 02 Juni, 2022

    Alkhamisi, 02 Juni, 2022

    Jun 02, 2022 07:10

    Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Mfunguo Pili Dhul Qaadah 1443 Hijria, sawa na tarehe Pili Juni 2022 Miladia

  • Iran yakosoa mitazamo ya upande mmoja na taathira zake hasi kwa utulivu wa eneo na usalama wa kimataifa

    Iran yakosoa mitazamo ya upande mmoja na taathira zake hasi kwa utulivu wa eneo na usalama wa kimataifa

    May 26, 2022 21:53

    Awamu ya tatu ya mazungumzo ya kisiasa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Italia ilifanyika siku ya Jumanne mjini Tehran, chini ya uenyekiti wa Ali Bagheri, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kisiasa na Ettore Plato, Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia.

  • Wataliano waandamana kulaani mashambulizi dhidi ya Wapalestina al-Aqsa

    Wataliano waandamana kulaani mashambulizi dhidi ya Wapalestina al-Aqsa

    Apr 19, 2022 02:55

    Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Italia, Rome ya kulaani mashambulio ya wanajeshi makatili wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Msikiti wa al-Aqsa ulioko katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • DRC yawakamata wanaotuhumiwa kumuua balozi wa Italia

    DRC yawakamata wanaotuhumiwa kumuua balozi wa Italia

    Jan 20, 2022 00:54

    Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimewatia nguvuni watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa balozi wa Italia nchini humo.

  • Wanawake nchini Italia waandamana kulaani ukatili wa kijinsia

    Wanawake nchini Italia waandamana kulaani ukatili wa kijinsia

    Nov 28, 2021 08:29

    Mitaa na barabara za Rome, mji mkuu wa Italia zimeshuhudia maandamano makubwa ya wanawake wanaolalamikia ongezeko la kesi za ukatili wa kijinsia na mizozo ya kinyumbani.

  • Watu wenye kirusi kipya cha corona cha Omicron wapatikana Ujerumani, Uingereza na Italia

    Watu wenye kirusi kipya cha corona cha Omicron wapatikana Ujerumani, Uingereza na Italia

    Nov 28, 2021 04:16

    Mashirika ya tiba katika nchi za Ujerumani, Uingereza na Italia yametangaza kuwa watu kadhaa wamegunduliwa kuwa na aina mpya ya kirusi cha corona cha omicron ambacho kinasambaa kwa kasi zaidi kulinganisha na spishi za kabla yake.

  • Mgogoro wa wakimbizi; italia yataka kuitishwe kikao maalumu cha kutafuta suluhisho

    Mgogoro wa wakimbizi; italia yataka kuitishwe kikao maalumu cha kutafuta suluhisho

    Aug 05, 2021 21:54

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italia ametoa wito wa kuitishwa kikao maalumu cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa wakimbizi na kugawana wakimbizi hao baina ya nchi za Ulaya kwa uadilifu.

  • Italia yakanusha madai ya kutaka kuimarisha uwepo wa askari wake Libya

    Italia yakanusha madai ya kutaka kuimarisha uwepo wa askari wake Libya

    Jun 27, 2021 03:04

    Wizara ya Ulinzi ya Italia imekadhibisha madai ya baadhi ya vyombo vya habari kuwa Rome ina mpango wa kuongeza idadi ya wanajeshi wake nchini Libya.

  • Maandamano ya kuunga mkono Palestina yafanyika Italia

    Maandamano ya kuunga mkono Palestina yafanyika Italia

    Jun 06, 2021 08:14

    Watu wa Italia wameshiriki katika maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Roma kwa lengo la kutangaza uungaji mkono wao kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina sambamba na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jumatano tarehe Pili Juni mwaka 2021

    Jumatano tarehe Pili Juni mwaka 2021

    Jun 01, 2021 21:57

    Leo ni Jumatano tarehe 21 Mfunguo Mosi Shawwal 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe Pili Juni mwaka 2021.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS