-
Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya
Mar 26, 2021 22:00Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Ufaransa, Ujerumani na Italia Alkhamisi iliyopita walikwenda Tripoli mji mkuu wa Libya kwa shabaha ya kujadili mustakbali wa uhusiano wa nchi za Ulaya na Libya. Mawaziri hao pia wamesisitiza udharura wa kuondoka vikosi vya majeshi ya kigeni katika ardhi ya Libya.
-
Italia: Tunaunga mkono juhudi za kuleta amani na utulivu nchini Libya
Mar 12, 2021 08:32Serikali ya Italia imesema kuwa inaunga mkono kikamilifu juhudi za kurejesha amani na utulivu katika nchi ya kaskazini mwa Afrika ya Libya.
-
Italia pia yasitisha mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati
Jan 30, 2021 04:22Serikali ya Italia imesimamisha uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, baada ya wanaharakati na wabunge wa nchi hiyo ya Ulaya kuonya kuwa, silaha hizo zinatumika kukanyaga haki za binadamu nchini Yemen.
-
Ijumaa, Novemba 6, 2020
Nov 05, 2020 23:01Leo ni ijumaa tarehe 20 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Novemba mwaka 2020.
-
Uchumi wa Italia warejea miaka 20 nyuma kutokana na janga la COVID-19
Aug 31, 2020 22:29Muungano wa mashirika na jumuiya za kiuchumi za Italia umezungumzia athari mbaya za janga la corona yaani COVID-19 katika uchumi wa nchi hiyo na kusema kuwa, uchumi wa Italia umeporomoka vibaya na umerejea katika hali uliyokuwa nayo miaka 20 iliyopita.
-
Jumamosi, 23 Mei, 2020
May 22, 2020 22:09Leo ni Jumamosi tarehe 29 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1441Hijria sawa na tarehe 23 Mei 2020 Miladia.
-
Taasisi ya kijamii ya Italia: Idadi kamili ya wahanga wa firusi vya Corona ni zaidi ya iliyotangazwa
May 22, 2020 07:01Taasisi ya Usalama wa Kijamii nchini Italia imesema kuwa, idadi kamili ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya Corona kati ya mwezi Machi na Aprili mwaka huu ni zaidi ya watu elfu 19 waliotangazwa rasmi na serikali.
-
Mwanamke Mtaliano aliyesilimu akiwa Somalia atumiwa jumbe za chuki
May 13, 2020 03:45Mwanamke mmoja raia wa Italia aliyekuwa ametekwa nyara nchini Somalia kwa karibu mwaka mmoja na nusu ameshambuliwa vikali na kutumiwa jumbe za chuki na vitisho baada ya kubainika kuwa aliukubali Uislamu akiwa mateka.
-
Mtihani wa Corona na sisitizo la Italia la kutokuwepo mshikamano ndani ya Umoja wa Ulaya
Apr 22, 2020 05:47Kuenea kwa kiasi kikubwa virusi vya Corona barani Ulaya na mgogoro unaotokana na janga hilo, kumezifanya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya EU kukosoa baadhi ya sheria zake na kusema kuwa haujakuwa na radiamali wala kuonyesha mshikamano uliotarajiwa kuhusiana na janga hilo.
-
Baada ya janga la corona Wataliano wataka kujiondoa Umoja wa Ulaya
Apr 20, 2020 03:30Uchunguzi mpya wa maoni nchini Italia umebaini kuwa aghalabu ya watu wa nchi hiyo wanataka nchi yao iondoke katika Umoja wa Ulaya kutokana na utendaji mbovu wa umoja huo katika kipindi hiki cha janga la corona nchini humo.