-
Tahadhari ya maafisa wa Italia kuhusu uwezekano wa kusambaratika EU
Apr 14, 2020 01:59Maambukizi ya virusi vya corona na kutokuwepo ushirikiano kwa ajili ya kudhibiti kasi ya maambukizi ya virusi hivyo katika nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) vimetia mashakani mustakbali wa umoja huo na malengo ya kuasisiwa kwake.
-
Italia yaonya kusambaratika EU, Brussels hatimaye yapasisha fedha za kupambana na corona
Apr 09, 2020 22:03Waziri Mkuu wa Italia ameonya kuhusu hatari ya kusambaratika Umoja wa Ulaya (EU) baada ya mgogoro wa corona kutokana na utendaji dhaifu sana wa umoja huo.
-
Italia yaripoti kesi mpya 3500 za maambukizo ya corona
Mar 14, 2020 23:37Italia imetangaza kuwa karibu watu 3500 wameambukizwa virusi vya codiv-19 nchini humo yaliyopita huku 175 wakiaga dunia katika muda wa masaa 24 yaliyopita.
-
Putin asisitiza ulazima wa kutatuliwa kwa amani mgogoro wa Libya
Dec 27, 2019 03:55Rais wa Russia amemhutubu na kumsisitizia Waziri Mkuu wa Italia kuwa mgogoro wa Libya unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani.
-
Kituo cha jeshi cha Marekani na msafara wa askari wa Italia washambuliwa Somalia; Al Shabab latangaza kuhusika
Sep 30, 2019 10:03Mashambulio mawili tofauti yamelenga kituo cha jeshi cha Marekani kilichoko kwenye mji wa Baledogle na msafara wa askari wa Italia katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Papa atahadharisha kuhusu kushadidi mielekeo ya kufurutu mpaka ya mrengo wa kulia barani Ulaya
Aug 10, 2019 10:32Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametoa indhari ya kushadidi hisia na mielekeo ya kufurutu mpaka ya mrengo wa kulia barani Ulaya.
-
Jumatano, 10 Julai, 2019
Jul 09, 2019 22:04Leo ni Jumatano tarehe 7 Mfunguo Pili Dhulqaada 1440 Hijria sawa na tarehe 10 Julai 2019.
-
Jumapili, tarehe Pili Juni, 2019
Jun 04, 2019 23:39Leo ni Jumapili tarehe 27 Ramadhani 1440 Hijria, sawa na Juni 2, 2019 Miladia.
-
Raia wa Italia waandamana kuupinga utawala wa Kizayuni Israel na kuiunga mkono Palestina
Apr 26, 2019 03:31Sambamba na kusherehekea mwaka wa 74 wa kuwa huru nchi ya Italia na utawala wa Kifashisti, raia wa nchi hiyo mjini Roma, mji mkuu wa Italia wamefanya maandamano kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.
-
Kinara wa upinzani wa Sudan Kusini 'azuiwa' kushiriki mkutano wa Vatican
Apr 10, 2019 03:23Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar ameripotiwa kuzuiwa kwenda Vatican, Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani nchini Italia kushiriki mkutano wa amani kati yake na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.