-
Ufaransa yairejeshea Ivory Coast 'ngoma inayozungumza' waliyoiiba askari wake karne moja iliyopita
Feb 22, 2026 06:49Ufaransa imekabidhi "ngoma inayozungumza" ambayo iliporwa na wanajeshi wake wa kikoloni nchini Ivory Coast mnamo mwaka 1916, katika hatua ya karibuni zaidi kuchukuliwa na serikali ya Paris ya kurejesha vito vya sanaa ilivyoviiba kwenye makoloni yake ya zamani.
-
Uvamizi wa damu: Jinai za nyuma ya pazia za Ufaransa nchini Ivory Coast
Feb 09, 2026 13:31Kwa takriban miongo minane, kuanzia mwaka 1893 hadi 1960, Ivory Coast ilikuwa eneo la moja ya tawala za kikoloni katili zaidi za Ufaransa magharibi wa Afrika.
-
Pezeshkian: Iran ipo tayari kuimarisha uhusiano na Ivory Coast
Oct 08, 2025 12:45Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiandaa kikamilifu kupanua ushirikiano wa pande mbili na Ivory Coast ili kufikia malengo ya pamoja.
-
Gbagbo aapa kutomuunga mkono mgombea yeyote katika kinyang'anyiro cha urais wa Ivory Coast
Sep 20, 2025 02:36Laurent Gbagbo Rais wa zamani wa Ivory Coast amesema hatomuunga mkono mgombea yeyote katika uchaguzi ujao wa rais.
-
Rais wa zamani Gbagbo na kiongozi mkuu wa upinzani wazuiwa kugombea urais wa Ivory Coast
Sep 09, 2025 10:28Kinyang'anyiro cha kuwania urais nchini Ivory Coast kimeshuhudia mabadiliko ya ghafla baada ya viongozi wawili wakuu wa upinzani kuzuiliwa kugombea katika uchaguzi huo utakaofanyika mwezi ujao wa Oktoba.
-
Ivory Coast yatangaza tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa nchini humo
Feb 08, 2025 02:58Serikali ya Ivory Coast imeainisha tarehe ya kuondoka wanajeshi 'vamizi' wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria
Jan 02, 2025 06:48Rais William Ruto wa Kenya kwa mara ya kwanza amekiri hadharani matumizi mabaya ya mamlaka yanayofanywa na vikosi vya usalama, kufuatia wimbi la utekaji nyara wenye utata ambao umezua maandamano makubwa ya upinzani nchini humo.
-
Ouattara: Ufaransa kuondoa wanajeshi wake Ivory Coast
Jan 01, 2025 13:05Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema kuwa wanajeshi wa Ufaransa wataondoka nchini humo mwezi huu wa Januari. Rais wa Ivory Coast alieleza haya jana Jumnanne katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka kwa taifa.
-
Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran
Dec 01, 2024 04:12Balozi wa Ivory Coast nchini Iran amesisitiza azma ya nchi yake ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran.
-
Jumatatu, Agosti 7, 2023
Aug 07, 2023 02:37Leo ni Jumatatu Tarehe 20 Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Agosti mwaka 2023.