-
UN yataka kutumwa askari wengine wa kimataifa DRC
Mar 11, 2017 00:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kutuma askari wengine 320 wa kofia buluu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
-
Asasi za kiraia DRC zataka Rais Kabila ashirikishwe katika utekelezwaji wa hati ya makubaliano ya amani
Mar 07, 2017 12:03Asasi za kiraia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimetoa wito wa kushirikishwa Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo katika utekelezwaji wa hati ya makubaliano ya amani yaliyotiwa saini kati ya serikali ya Kinshasa na wapinzani.
-
Watu wanne wauawa mapiganoni Kongo
Mar 06, 2017 04:18Watu wanne wameuawa katika mapigano kati ya polisi na kundi moja linaloipinga serikali huko Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
SAUTI: Hatimaye kasisi anayejiita Nabii huko Kongo DR, ajisalimisha kwa polisi baada ya kumtusi Rais Kabila kuwa sio raia wa nchi hiyo
Mar 04, 2017 15:04Mbunge na kiongozi wa Kanisa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye pia anajitaja kuwa ni nabii wa Mungu, Bwana, Ne Muanda Nsemi, amejitokeza hadharani baada ya kuwa mafichoni kwa wiki kadhaa, kufuatia kanisa lake kuzingirwa na jeshi la polisi la nchi hiyo.
-
Felix Tshsekedi arithi mikoba ya baba yake Kongo DR
Mar 03, 2017 04:45Chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kimemteua Felix Tshisekedi kuwa kinara wa chama hicho kufuatia kifo cha baba yake, Etienne Tshisekedi.
-
Waasi 20 wa M23 wauawa mashariki mwa DRC
Mar 02, 2017 12:13Waasi wasiopungua 20 wameuawa katika mapigano yaliyozuka kwenye siku za hivi karibuni kati ya wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 mkoani Kivu Kaskazini.
-
Kanisa katoliki lajiunga na watetezi wa haki za binadamu, laitaka serikali kukomesha mauaji dhidi ya raia Congo
Mar 02, 2017 00:26Kanisa Katoliki la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetahadharisha kuhusu utendaji wa jeshi la serikali ya nchi hiyo katika mashambulizi yake dhidi ya wanamgambo wa kundi la Kamounia Nsap kwenye mkoa wa Kasai.
-
Sisitizo la kuundwa kamati maalumu ya kusimamia makubaliano ya Kongo
Feb 27, 2017 10:39Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesisitiza kuwa kuna udharura wa kuundwa kamati maalumu ya kusimamia makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya serikali na vyama vya upinzani.
-
UN yataka uchunguzi ufanyike kuhusu mauaji Kasai, DRC
Feb 26, 2017 04:07Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa taarifa likilaani vikali matukio ya utumiaji mabavu yaliyotokea katika miezi ya hivi karibuni huko Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na kuihimiza serikali ya nchi hiyo kuchunguza mara moja matukio hayo.
-
Askari wa kimataifa watuhumiwa kufanya uhalifu DRC
Feb 25, 2017 00:45Kamati ya nidhamu ya askari wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa, askari wa umoja huo wanatumuhimiwa kufanya vitendo visivyo vya kimaadili mwaka 2016 nchini Kongo.