-
Mapigano ya kikabila ya umwagaji damu mashariki mwa Kongo
Feb 24, 2017 10:53Makumi ya watu wameuawa hadi sasa tangu kuanza tena mapigano katika mkoa wa Tanganyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi Julai mwaka jana.
-
Serikali ya Kongo DR: Migogoro itatuliwe kisiasa mbali na uingiliaji wa polisi
Feb 22, 2017 00:37Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ametaka kuchukuliwa hatua za kisiasa kwa ajili ya kukabiliana na machafuko nchini badala ya utumiwaji nguvu wa polisi.
-
UN: Lazima Kongo DR ichunguze ripoti za kuaminika kuhusu mauaji yaliyofanywa na jeshi
Feb 21, 2017 03:58Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina wajibu wa kuchunguza ripoti za kuaminika kuhusu jinai zilizofanywa nchini humo yakiwemo mauaji ya raia yaliyofanywa na jeshi.
-
Papa Francis: Machafuko na ukatili ukomeshwe nchini Kongo DR
Feb 20, 2017 04:24Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ametaka kuhitimishwa machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wasi wasi wa jamii ya kimataifa kuhusu mchakato wa kisiasa DRC
Feb 17, 2017 11:34Jamii ya kimataifa imebainisha wasiwasi wake kuhusu kuwepo mkwamo katika mazungumzo ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
UN: 100 wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi DRC
Feb 14, 2017 11:09Umoja wa Mataifa umesema jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeua makumi ya watu katika makabiliano na kundi la waasi kati ya Februari 9 na 13.
-
Mgogoro wa hali mbaya ya usalama wa chakula washtadi Kongo DR
Feb 12, 2017 12:20Kuongezeka mapigano na mgogoro wa kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumezidisha tatizo la uhaba wa chakula nchini humo.
-
Watu wasiopungua 30 wauawa Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Feb 11, 2017 04:00Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mji wa Tshimbulu Kasai Katikati huko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mashambulio ya kundi moja la wanamgambo.
-
Serikali ya mkoa wa Tanganyika Kongo DR yawataka askari wa UN kusimamia amani mkoa huo
Feb 10, 2017 01:00Kufuatia hali ya wasi wasi katika mkoa wa Tanganyika, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, gavana wa eneo la Nyunzu kwa kushirikiana na wawakilishi wa asasi za kiraia, wamewataka askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Mataifa kutia kambi eneo hilo.
-
UN yatahadharisha juu ya hali mbaya ya kibinaadamu katika mkoa wa Tanganyika Kongo DR
Feb 09, 2017 13:08Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya hali mbaya ya kibinaadamu katika mkoa wa Tanganyika, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.