-
Mzee Tshisekedi, kinara wa upinzani Kongo DR aaga dunia
Feb 02, 2017 02:31Kiongozi mkongwe wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mzee Etienne Tshisekedi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 usiku wa kuamkia leo nchini Ubelgiji.
-
Mazungumzo kati ya wapinzani na serikali yaahirishwa Kongo DR
Jan 31, 2017 01:03Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, limetangaza habari ya kuahirishwa mazungumzo baina ya serikali na wapinzani wa nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu DRC vimeongezeka
Jan 26, 2017 10:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu vimeongezeka mno katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Raia waliotekwa nyara na waasi wa Uganda Kongo DR wakombolewa
Jan 23, 2017 23:27Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limefanikiwa kuwakomboa raia kadhaa waliokuwa wanashikiliwa na waasi wa Uganda huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waasi wa Uganda washambulia kijiji kaskazini mwa Kongo DR, wateka nyara raia
Jan 21, 2017 01:07Waasi wa Uganda wameshambulia wakazi wa kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuteka nyara wakazi kadhaa wa kijiji hicho.
-
SAUTI: Kauli ya serikali ya Kongo DR juu ya kurejea waasi wa M23 nchini, imeibua hali ya swintofahamu, baada ya pande nyingi kuipinga
Jan 19, 2017 13:15Taarifa iliyotolewa na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo juu ya kurejea nchini humo waasi wa M23 kutoka Uganda, imeibua hali ya sintofahamu, baada ya pande tofauti kurushiana mpira katika kadhia hiyo.
-
Wakongo wataka kusitishwa uuzwaji holela wa silaha kwa makundi ya wanamgambo
Jan 16, 2017 23:33Kiongozi mmoja wa mkoa wa Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ametaka kuwepo mapambano ya kukabiliana na wimbi la biashara za silaha kwa makundi ya wanamgambo nchini humo.
-
Waasi wa zamani wa Machi 23 waingia mashariki mwa Congo
Jan 16, 2017 02:41Maafisa wa serikali ya Jamhuri ya Kidemkorasia ya Congo wamesema kuwa waasi wa zamani wa kundi la Machi 23 wameingia mashariki mwa nchi hiyo.
-
Congo DR yataka kufukuzwa waasi wa Rwanda, Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo
Jan 12, 2017 23:28Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeutaka Umoja wa Mataifa kutayarisha mazingira ya kuwaondoa waasi wa Rwanda na Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Raia milioni mbili wakimbia Sudan Kusini
Jan 08, 2017 10:22Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa wakimbizi wa Sudan Kusini zaidi ya milioni mbili walikimbilia Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwaka jana kwa ajili ya kutafuta hifadhi.