-
Makumi wauawa Kongo DR katika mapigano ya kikabila na jeshi
Jan 08, 2017 04:20Ofisi inayoshughulikia masuala ya kibinaadamu ya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika mapigano makali yaliyojiri katikati mwa nchi hiyo.
-
Raia 15 wauawa katika mapigano ya kikabila katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Jan 06, 2017 11:19Mapigano makali ya umwagaji damu yameripotiwa kutokea kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kupelekea kwa uchache raia 15 kuuawa.
-
Kundi Jingine la upinzani DRC lajiunga na mkataba wa amani
Jan 06, 2017 04:29Huko nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC, jukwaa la kuheshimu katiba ya nchi hiyo limetangaza litatia saini makubaliano ya kisiasa yaliyotiwa siani hivi karibuni.
-
UN yataka kutekelezwa makubaliano ya kukabidhi madaraka Kongo DR
Jan 05, 2017 04:26Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetaka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya kukabidhi madaraka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanajeshi wa DRC wakabiliana na waasi mashariki mwa nchi
Jan 04, 2017 12:52Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameendelea kupambana na waasi wa Mai Mai, mashariki mwa nchi hiyo.
-
EU yakaribisha makubaliano ya amani ya serikali ya Kongo DR na wapinzani
Jan 04, 2017 00:28Umoja wa Ulaya umekaribisha makubaliano ya amani baina ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wapinzani wa nchi hiyo.
-
Makundi ya kisiasa Kongo yafikia muafaka wa kuhitimisha mgogoro nchini humo
Dec 31, 2016 09:31Imetangazwa kuwa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo atang'atuka madarakani kabla ya kufanyika uchaguzi ujao hiyo ikiwa ni baada ya kufikiwa muafaka wa kisiasa kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Hatimaye Kongo DR yafikia muafaka wa kisiasa, Kabila kuachia madaraka 2017
Dec 31, 2016 04:00Hatimaye serikali na upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia muafaka, ambapo Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo amekubali kung'atuka uongozini mwishoni mwa mwaka ujao 2017.
-
Wapinzani DRC wasema mazungumzo yanalegalega
Dec 30, 2016 12:37Wapinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema mazungumzo ya namna Rais Joseph Kabila atakavyoondoka madarakani yanalegalega na yamkini yakasambaratika.
-
Wapinzani wapambana na polisi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Dec 29, 2016 11:22Maandamano ya nchi nzima huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yamewalazimisha polisi kuingilia kati kukabiliana nayo.