-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kasi ya harakati ya sayansi na teknolojia Iran
Jan 24, 2019 03:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano asubuhi mjini Tehran katika mkutano na wakuu pamoja na watafiti wa Taasisi ya Utambuzi wa Taaluma za Sayansi na Teknolojia (ICSS), Waziri wa Elimu na pia wakuu na wahadhiri wa vyuo vikuu husika alisistiza kuwa, taifa lolote linalobaki nyuma katika taaluma mpya na teknolojia zinazohusiana na taaluma hizo halitakuwa na hatima nyingine ghairi ya kubaki nyuma kimaendeleo, kudhalilishwa na kukoloniwa na madola yenye nguvu.
-
Russia: Iran iko kihalali nchini Syria na sisi tunaliheshimu hilo
Aug 24, 2018 21:50Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov amesema kuwa nchi yake inaheshimu uwepo wa Iran nchini Syria kwani iko huko kihalali na kwa mwaliko wa serikali halali ya nchi hiyo.
-
Iran yalaani mashambulizi ya muungano wa Saudia katika mji wa al Hudaydah Yemen
Jun 14, 2018 10:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulio ya angani na baharini ya muungano vamizi wa Saudi Arabia dhidi ya mji wa bandari wa al Hudaydah wa nchini Yemen na kusisitiza kuwa, Tehran inasikitishwa mno na hali mbaya ya kibinadamu waliyobebeshwa wananchi Waislamu wa Yemen.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatoa taarifa rasmi kulaani jinai za utawala wa Kizayuni
May 15, 2018 09:40Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa katika kulaani jinai na mauaji ya umati ya Wazayuni dhidi ya raia madhlum wa Palestina na kuitaka jamii ya kimataifa kuvunja ukimwa wake wa muda mrefu, kuhitimisha uvamizi na kudhamini haki za Wapalestina kama wamiliki halisi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Jumanne 18 Julai, 2017
Jul 17, 2017 21:59Leo ni Jumanne tarehe 23 Shawwal 1438 Hijria sawa na Julai 18, 2017
-
Jumanne, Aprili 11, 2017
Apr 10, 2017 21:59Leo ni Jumanne tarehe 13 Rajab 1438 Hijria sawa na Aprili 11, 2017 Milaadia.
-
Ayatullah Khatami: Kuilinda Jamhuri ya Kiislamu kunahitaji maandalizi ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi
Mar 31, 2017 10:30Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuilinda na kuihami Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kunahitajia maandalizi makubwa ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi.
-
Iran, jirani mwema na mshirika mwenye utulivu na amani wa Russia
Mar 29, 2017 03:04Hati 14 za ushirikiano katika sekta mbalimbali zikiwemo masuala ya kibalozi, utalii, uchumi, mawasiliano, sheria na masuala ya mahakama zimesainiwa katika mazungumzo yaliyafanyika jana kati ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mwenyeji wake wa Russia Vladimir Putin mjini Moscow.
-
Iran na Uganda zasisitiza juu ya kustawisha zaidi ushirikiano baina yao
Jan 21, 2017 00:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uganda zimesisitiza juu ya kustawisha zaidi uhusiano wao katika nyanja mbalimbali.
-
Rais Rouhani afanya mazungumzo na Marais wa Bolivia na Ecuador
Sep 18, 2016 02:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi hii inakaribisha kuimarishwa uhusiano kati yake na nchi za Amerika ya Latini na khususan Bolivia katika nyanja zote.