-
Alkhamisi tarehe 23 Disemba 2021
Dec 23, 2021 02:49Leo ni Alkhamisi tarehe 18 Jamadil Awwal 1443 Hijria sawa na Disemba 23 mwaka 2021.
-
Onyo la Putin kwa Marekani kwa kuweka mifumo ya makombora katika mpaka wa Russia na Japan
Sep 06, 2021 03:00Rais Vladimir Putin wa Russia ameelezea wasiwasi wake kuhusu mpango wa Marekani wa kuweka mifumo yake ya kujilinda kwa makombora katika mpaka wa Russia na Japan na ameitaka Tokyo isiruhusu kufanyika jambo hilo.
-
Spika Qalibaf: Japan ichukue hatua za maana za kuachiliwa fedha za Iran
Aug 23, 2021 07:55Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Japan ichukue hatua za maana kuhakikisha kwamba, fedha za Iran zilizozuiwa katika benki za nchi hiyo zinaachiliwa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan aitaka Marekani iache uroho na uchu wa mali
Aug 23, 2021 03:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Japan amesema ili kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani inapaswa kuachana na tabia yake ya uroho, uchu na hamu kubwa ya kukusanya na kurundika mali.
-
Takwimu rasmi: Wajapan wanaojiua ni wengi zaidi kuliko wanaofariki kwa corona!
Dec 03, 2020 07:24Takiwmu zilizotolewa na serikali ya Japan zinaonyesha kuwa, katika mwezi wa Oktoba pekee, watu 2,215 walijiua nchini humo, idadi ambayo ni kubwa zaidi kulinganisha na ya watu wote walioaga dunia hadi sasa nchini humo kwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya Japan, Marekani na Australia katika Bahari ya China Kusini
Oct 23, 2020 02:52Kikosi cha Tano cha Jeshi la Majini la Marekani kimetangaza habari ya kuanza mazoezi ya kijeshi ya nchi hiyo na majeshi ya Japan na Australia katika maji ya Bahari ya China Kusini. Haya ni mazoezi ya tano ya kijeshi ya pamoja ya nchi hiyo katika Bahari ya China Kusini katika mwaka huu wa 2020.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu jinai ya Marekani katika kudondosha bomu la atomiki Hiroshima
Aug 09, 2020 07:14Mwezi Agosti mwaka 1945 Marekani ilishambulia mji wa Hiroshima kwa bomu la nyuklia na kuua watu zaidi ya laki moja; hii ndio hulka ya kibeberu ya jeshi la Marekani, kutokuwa na dini, kutomwamini Mwenyezi Mungu na utovu wa maadili wa Marekani.
-
Meli za kivita za Marekani, Australia na Japan zashiriki mazoezi ya kijeshi, China yaonya kuhusu taharuki
Jul 23, 2020 07:00Meli tano za kivita za Australia zimejiunga na manowari za majeshi ya majini ya Japan na Marekani kwa ajili ya mazoezi ya pamoja katika Bahari ya Ufilipino eneo la Bahari ya Pasifiki.
-
Alkhamisi tarehe 16 Julai mwaka 2020
Jul 16, 2020 17:54Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Mfunguo Pili Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Julai 16 mwaka 2020.
-
Rais Rouhani: Iwapo Marekani ni mkweli kuhusu madai yake, isitishe vikwazo dhidi ya Iran
May 06, 2020 04:15Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya Marekani kuwa iko tayari kuisadia Iran kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) na kusema: "Iwapo Wamarekani ni wakweli, njia pekee ni kuondoa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria dhidi ya Iran."