Jan 30, 2021 11:52
Sekta ya miradi ya nyuklia ya Iran inaendelea kuimarishwa kwa malengo ya amani licha ya kuwepo shaka na madai yasiyo na msingi ya Marekani na nchi tatu za Ulaya zilizosalia katika mapatano ya JCPOA, jambo linalothibitisha wazi kwamba miradi hiyo itaendelea kuimarika iwe ni kwa msingi wa mapatano ya JCPOA au la.