Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Rouhani: Iran imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani + Video

    Rouhani: Iran imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani + Video

    Jun 15, 2019 03:40

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia mchango wa Tehran katika kupambana na makundi ya kigaidi na ukufurishaji huko Syria na Iraq na kuongeza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani.

  • Ukosoaji mkali wa Sweden na Russia kwa mienendo hasi ya Marekani kuhusu mapatano ya JCPOA

    Ukosoaji mkali wa Sweden na Russia kwa mienendo hasi ya Marekani kuhusu mapatano ya JCPOA

    Jun 15, 2019 03:04

    Hatua ya Marekani ya kujiodoa kwenye mapatano ya nyukali ya JCPOA hapo mwezi Mei 2018 na kisha kurejesha vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran katika hatua mbili, sambamba na kukosolewa na wanachama wa kundi la 4+1, imekosolewa pia na nchi nyingine katika ngazi ya kimataifa kama vile Sweden.

  • Jumuiya ya SCO yataka kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA

    Jumuiya ya SCO yataka kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA

    Jun 14, 2019 23:15

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai (SCO) imezitaka pande husika za makubaliano ya nyuklia ya Iran (JCPOA) kuheshimu na kutekeleza wajibu wao wa kufungamana na mapatano hayo ya kimataifa.

  • Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran

    Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran

    Jun 13, 2019 06:50

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akichukua misimamo ya chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni amekuwa akitumia stratijia ya 'mashinikizo ya juu zaidi' kuilazimisha Iran ikubali matakwa yake ya kidhalimu.

  • Heiko Maas : Nchi za Ulaya zinafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran

    Heiko Maas : Nchi za Ulaya zinafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran

    Jun 08, 2019 23:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas amekutana na Waziri Mkuu wa Iraq Adel Abdul Mahdi mjini Baghdad siku ya Jumamosi na kusema nchi za Umoja wa Ulaya zinafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Japan Tehran itafanikiwa iwapo Marekani itaiondolea Iran vikwazo

    Safari ya Waziri Mkuu wa Japan Tehran itafanikiwa iwapo Marekani itaiondolea Iran vikwazo

    Jun 08, 2019 07:55

    Msemaji wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran amesema kuhakikisha Marekani inarejea katika mapatano ya JCPOA, kufidia hasara ambazo Iran ilipata baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano hayo na kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran ni nukta za lazima ambazo zitadhamini mafanikio ya safari tarajiwa ya Waziri Mkuu wa Japan nchini Iran.

  • Iran yakosoa matamshi ya Rais wa Ufaransa alipokutana na Trump

    Iran yakosoa matamshi ya Rais wa Ufaransa alipokutana na Trump

    Jun 07, 2019 02:58

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alipokutana na mwenzake wa Marekani mjini Paris na kusema matamshi ya Macron hayasaidii katika kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 06, 2019 22:39

    Russia na China zikiwa nchi mbili muhimu wanachama wa kundi la 4+1 daima zimekuwa zikisisitiza udharura wa kulindwa mapatano ya kimataifa ya JCPOA na wakati huohuo kupinga vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran.

  • Ripoti mpya ya IAEA kuhusu Iran; sisitizo la kufungumana Tehran na makubaliano ya JCPOA

    Ripoti mpya ya IAEA kuhusu Iran; sisitizo la kufungumana Tehran na makubaliano ya JCPOA

    Jun 01, 2019 22:04

    Licha ya tuhuma zinazotolewa na Marekani kwamba Iran haijatekeleza majukumu wala kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na hata imeituhumu nchi hiyo kuwa inafanya juhudi za kuunda silaha za nyuklia, lakini ripoti ya karibuni ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) inaeleza kuwa, Tehran inaendelea kuheshimu na kutekeleza majukumu yake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ujumbe unaokinzana wa Trump kwa Iran

    Ujumbe unaokinzana wa Trump kwa Iran

    May 30, 2019 21:52

    Rais Donald Trump wa Marekani siku zote amekuwa na misimamo ya kihasama na kiadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na daima anasisitiza suala la kuzidisha masihinizo dhidi ya Tehran kwa shabaha ya kuilazimisha kukubali matakwa ya Washington.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS