Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Zarif: Ulaya haina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani

    Zarif: Ulaya haina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani

    Apr 03, 2019 23:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Nchi za Ulaya hazina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani.

  • Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Mar 31, 2019 22:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua dhidi ya Iran zinazochukuliwa na Marekani na kusema: "Wairani kamwe hawatasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani."

  • Sisitizo la Russia la wajibu wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani

    Sisitizo la Russia la wajibu wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani

    Mar 30, 2019 02:56

    Marekani ina historia ndefu na mbaya zaidi ya kutumia vikwazo dhidi ya nchi nyingine kwa ajili ya kuendeleza malengo yake ya kibeberu. Kwa kweli viongozi wa ngazi za juu wa Marekani wanaamini kuwa, vikwazo dhidi ya nchi nyingine ndio wenzo bora kwao wa kuweza kufanikishia malengo yao.

  • Kiongozi Muadhamu: Katika kadhia ya JCPOA, Wazungu wametupiga jambia kwa nyuma

    Kiongozi Muadhamu: Katika kadhia ya JCPOA, Wazungu wametupiga jambia kwa nyuma

    Mar 22, 2019 12:28

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, jana Alkhamisi jioni alitoa hotuba muhimu sana iliyozingatia masuala mbalimbali Ukiwemo msimamo wa Wamagharibi kuhusu Iran mbele ya mjumuiko mkubwa na uliojaa hamasa wa wafanyaziara na majiran wa Haram ya Imam Ridha AS mjini Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.

  • Wanadiplomasia 50 wa Marekani wamtaka Trump ajiunge tena na JCPOA

    Wanadiplomasia 50 wa Marekani wamtaka Trump ajiunge tena na JCPOA

    Mar 12, 2019 22:56

    Wanadiplomasia 50 wa zamani wa Marekani wamemwandikia barua Rais Donald Trump wa nchi hiyo wakitaka kurejea Washington katika makubaliano ya nyuklia baina ya nchi za kundi 5+1 na Iran maarufu kwa kifupi kama JCPOA.

  • Jarida la Marekani: Trump amepelekea nchi yetu itengwe na Ulaya

    Jarida la Marekani: Trump amepelekea nchi yetu itengwe na Ulaya

    Mar 09, 2019 03:46

    Jarida moja la nchini Marekani limemlaumu vikali rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa siasa zake mbovu za kimataifa na kusema kuwa, Trump amepelekea Marekani itengwe na nchi za Ulaya.

  • Tume ya pamoja ya JCPOA: Kuondolewa vikwazo, ni sehemu ya makubaliano na Iran

    Tume ya pamoja ya JCPOA: Kuondolewa vikwazo, ni sehemu ya makubaliano na Iran

    Mar 07, 2019 03:38

    Tume ya Pamoja ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA imetoa taarifa mwishoni mwa kikao cha 11 mjini Vienna, Austria ikisema kuwa kuondolewa vikwazo ambavyo vinaweza kuboresha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi na nchi hii, ni sehemu ya uhai wa mapatano hayo.

  • Sisitizo la Ulaya la kulinda makubaliano ya JCPOA na kukosolewa uamuzi wa Marekani

    Sisitizo la Ulaya la kulinda makubaliano ya JCPOA na kukosolewa uamuzi wa Marekani

    Mar 06, 2019 23:22

    Hata kama makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, ni mapatano muhimu kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani ilichukua uamuazi wa upande mmoja wa kujitoa katika mapatano hayo tarehe 8 mwezi Mei mwaka uliopita.

  • Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia

    Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia

    Mar 03, 2019 23:09

    Marekani katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, imeonyesha wazi misimamo yake ya kudhoofisha na kujaribu kuundoa madarakani mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran.

  • Marekani yaendeleza propaganda chafu dhidi ya Iran

    Marekani yaendeleza propaganda chafu dhidi ya Iran

    Mar 02, 2019 04:36

    Makamu wa Rais wa Marekani amekariri madai yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, serikali ya Washington itaendeleza misimamo na hatua zake dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS