-
Zarif: Nchi za Magharibi si wachukua maamuzi wakuu
Feb 24, 2019 10:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema nchi za Magharibi zimehatarisha usalama wa Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) kupitia mauzo ya silaha kwa nchi za Kiarabu. Amesema kuwa silaha hizo za nchi za Magharibi zimechangia kuvuruga usalama wa kieneo.
-
IAEA yathibitisha tena Iran inafungamana na mapatano ya nyuklia
Feb 23, 2019 01:14Wakala wa Kimataifa wa Nishati Atomiki, IAEA kwa mara ya 14 sasa umethibitisha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inafungamana kikamilifu na mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekeezaji, JCPOA, yaliyofikiwa baina ya Iran na madola sita makubwa duniani 2015.
-
Waziri wa Mambo ya Uingereza: Kulindwa JCPOA ni nukta muhimu katika uhusiano wa nchi hiyo na Ujerumani
Feb 20, 2019 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JPOA ni moja ya nukta muhimu katika uhusiano kati ya London na Berlin baada ya Uingereza kuondoka ndani ya Umoja wa Ulaya.
-
Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA
Feb 16, 2019 10:09Licha ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuwa na umuhimu mkubwa katika kudumisha amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani mwezi Mei mwaka jana ilijitoa kwenye makubaliano hayo ili kuyasambaratisha.
-
Umoja wa Ulaya wapinga takwa la Marekani la kujiondoa mapatano ya nyuklia ya Iran
Feb 16, 2019 04:37Umoja wa Ulaya umepinga ombi la Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence ambaye amezitaka nchi za Ulaya zifuate nyayo za Marekani na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran kwa lengo la "kuitenga" Jamhuri ya Kiislamu.
-
Zarif: Kuanzisha vita dhidi ya Iran ni sawa na kujitia kitanzi
Feb 15, 2019 21:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa jitihada za aina yoyote za kutaka kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran ni sawa na kujitia kitanzi na kujinyonga.
-
Misimamo ya Kugongana ya Umoja wa Ulaya kuhusiana na Iran
Feb 05, 2019 23:11Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ikiwa mwanachama wa kundi la 4+1 iliunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kukosoa vikali kujiondoa Marekani katika makubaliano hayo muhimu na ya kimataifa.
-
Kusajiliwa kanali ya kifedha ya Ulaya; hatua iliyochelewa lakini inayotia matumaini
Feb 01, 2019 09:25Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha kuzinduliwa mfumo maalumu wa kifedha wa nchi za Ulaya unaolenga kudumisha ushirikiano wa kiuchumi na Iran, ikiwa ni hatua ya kwanza iliyochukuliwa na nchi hizo kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA.
-
Ahadi za kukaririwa za Troika ya Ulaya kuhusiana na kutekelezwa mfumo maalumu wa kifedha wa SPV
Jan 29, 2019 21:38Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalihesabiwa kuwa maafikiano muhimu kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa kimataifa.
-
Bahram Qassemi: Ulaya kwa kutekeleza mfumo wa SPV ithibitishe kuwa iko huru na Marekani
Jan 28, 2019 04:27Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Umoja wa Ulaya kwa kutekeleza mfumo wa kifedha na Iran unaojulikana kama 'SPV' unaweza kuthibitisha kwamba unajitegemea na kwamba uko huru na Marekani pamoja na mashinikizo yake.