Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Mfumo wa kifedha wa SPV; ahadi nyingine, mara hii kutoka katika kinywa cha Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa

    Mfumo wa kifedha wa SPV; ahadi nyingine, mara hii kutoka katika kinywa cha Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa

    Jan 25, 2019 01:06

    Juhudi za madola ya Ulaya za kuanzisha mfumo wa kifedha kati ya Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa shabaha ya kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, bado haziiridhishi Tehran, na madola hayo yangali yanafanya harakati kwa kusitasita na kwa kigugumizi katika uwanja huo.

  • Jean-Yves Le Drian: Mfumo wa SPV utaanza kufanya kazi hivi karibuni

    Jean-Yves Le Drian: Mfumo wa SPV utaanza kufanya kazi hivi karibuni

    Jan 24, 2019 04:24

    Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema kuwa kuna uwezekano wa mfumo wa kifedha kati ya Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kuanza kufanya kazi siku chache zijazo.

  • Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Jan 24, 2019 00:35

    Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".

  • Qassemi: Iran ingali imefungamana na makubaliano ya nyuklia JCPOA

    Qassemi: Iran ingali imefungamana na makubaliano ya nyuklia JCPOA

    Jan 13, 2019 04:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha uvumi kwamba Tehran imejiondoa katika makubaliano ya nyuklia yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA.

  • Ukosoaji wa Russia kwa EU kwa kufeli mtihani wa kutekeleza kivitendo makubaliano ya JCPOA

    Ukosoaji wa Russia kwa EU kwa kufeli mtihani wa kutekeleza kivitendo makubaliano ya JCPOA

    Jan 12, 2019 04:43

    Makubaliano ya nyuklia, yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni makubaliano muhimu sana katika uga wa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. Lakini uamuzi iliochukuliwa na Marekani mnamo mwezi Mei 2018 wa kujitoa kwenye JCPOA, ulikuwa hatua hasi iliyotekelezwa kwa nia ya kuyasambaratisha makubaliano hayo.

  • Russia: EU haijafuzu mtihani wa utekelezaji kivitendo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Russia: EU haijafuzu mtihani wa utekelezaji kivitendo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 12, 2019 00:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, Umoja wa Ulaya haujafaulu mtihani wa kuonyesha kuwa uko huru kivitendo katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Zarif: Iran haitazisubiri nchi za Ulaya

    Zarif: Iran haitazisubiri nchi za Ulaya

    Jan 08, 2019 04:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Tehran inafanya mazungumzo na washirika wake wa jadi kwa ajili ya kudhamini maslahi ya watu wa Iran.

  • Mogherini: EU haitairuhusu Marekani iingilie uhusiano wake na Iran

    Mogherini: EU haitairuhusu Marekani iingilie uhusiano wake na Iran

    Jan 02, 2019 11:47

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema Marekani haiwezi na haipaswi kuitwisha EU sera zake na kwamba umoja huo wenye nchi wanachama 28 hautairuhusu Washington iufanyie maamuzi juu ya uhusiano wake wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video

    Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video

    Dec 31, 2018 11:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ulaya imeonesha kivitendo kuwa haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani.

  • Zarif: Vikwazo vya Marekani kamwe haviwezi kubadilisha siasa za Iran + Video

    Zarif: Vikwazo vya Marekani kamwe haviwezi kubadilisha siasa za Iran + Video

    Dec 16, 2018 04:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani dhidi ya nchi yake vitashindwa tu na kamwe havitoweza kubadilisha siasa za Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS