Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo

    Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo

    Sep 30, 2018 04:04

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akiyakosoa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalitiwa saini Julai 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo Marekani akiyataja kuwa makubaliano mabaya kabisa.

  • EU kuunda 'chombo maalumu' cha kufanikisha biashara na Iran

    EU kuunda 'chombo maalumu' cha kufanikisha biashara na Iran

    Sep 25, 2018 04:36

    Nchi zilizosalia kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kama JCPOA zimeazimia kuunda 'chombo maalumu' kitakachofanikisha mabadilishano ya kibiashara na Tehran kama sehemu moja ya kuyanusuru mapatano hayo yaliyotiwa saini Julai 2015 mjini Vienna Austria.

  • Maafisa wa zamani wa serikali Marekani wamtaka Trump arejee kwenye JCPOA

    Maafisa wa zamani wa serikali Marekani wamtaka Trump arejee kwenye JCPOA

    Sep 24, 2018 03:16

    Zaidi ya maafisa 50 wa zamani wa masuala ya usalama, siasa na jeshi wa Marekani wamesisitiza tena udharura wa nchi hiyo kurejea katika makubaliano ya nyuklia na Iran, kwa kifupi JCPOA.

  • Zarif: Marekani

    Zarif: Marekani "imeyakejeli" matakwa ya kutaka amani

    Sep 20, 2018 23:26

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani imeyafanyia kejeli matakwa ya amani.

  • Sisitizo la IAEA la kutekeza Iran makubaliano ya nyuklia; na njama mpya za Donald Trump dhidi ya JCPOA

    Sisitizo la IAEA la kutekeza Iran makubaliano ya nyuklia; na njama mpya za Donald Trump dhidi ya JCPOA

    Sep 18, 2018 07:06

    Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalitiwa saini Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1, linaloundwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, China, Russia pamoja na Ujerumani na kuanza kutekelezwa Januari 2016.

  • Yukiya Amano asisitiza tena kwamba, Iran imetekeleza ahadi zake kuhusu JCPOA

    Yukiya Amano asisitiza tena kwamba, Iran imetekeleza ahadi zake kuhusu JCPOA

    Sep 17, 2018 11:12

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba, Iran imekuwa ikitekeleza ahadi zake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • John Kerry ajibu mashambulizi ya kimaneno ya Trump kuhusu JCPOA

    John Kerry ajibu mashambulizi ya kimaneno ya Trump kuhusu JCPOA

    Sep 15, 2018 20:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani sambamba na kutetea mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA, amekiri kwamba, kwa kuzingatia ukiukaji wa ahadi wa Marekani, hakutofanyika mazungumzo yoyote kati ya Iran na Washington.

  • Zarif: Nchi za Ulaya ziamue ima kusimama kidete au kusalimu amri mbele ya Marekani

    Zarif: Nchi za Ulaya ziamue ima kusimama kidete au kusalimu amri mbele ya Marekani

    Sep 15, 2018 09:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Umoja wa Ulaya zinapaswa kuamua ima zisimame kidete au zisalimu amri mbele ya Marekani. Aidha amesema nchi za Ulaya zinapaswa kufidia hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatnao ya nyuklia ya Iran, JCPOA.

  • Hatua mpya za Umoja wa Ulaya za kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Hatua mpya za Umoja wa Ulaya za kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Sep 15, 2018 03:29

    Umoja wa Ulaya (EU), ambao nchi zake tatu muhimu, yaani Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ni wanachama wa kundi 5+1, mbali kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya Iran ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) umesisitiza kukabiliana na hatua za Marekani za kutaka kuyavunja makubaliano hayo; na katika kufanya hivyo umechukua hatua nyengine mpya kwa madhumuni ya kuyalinda makubaliano hayo ya JCPOA.

  • Sisitizo la Rais Vladmir Putin wa Russia juu ya ulazima wa kudhaminiwa usalama wa kimataifa wa Korea Kaskazini

    Sisitizo la Rais Vladmir Putin wa Russia juu ya ulazima wa kudhaminiwa usalama wa kimataifa wa Korea Kaskazini

    Sep 13, 2018 21:56

    Mgogoro wa Rasi ya Korea ni moja ya masuala ambayo Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiyapa umuhimu mkubwa, tangu alipoingia madarakani nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS