-
Wizara ya Fedha ya Marekani imegeuka kuwa kitovu cha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran
Jul 10, 2018 09:12Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Wizara ya Fedha ya Marekani imegeuka na kuwa kitovu cha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran."
-
Ukosoaji mkali wa Madeleine Albright dhidi ya siasa za Trump kuhusu JCPOA
Jul 09, 2018 08:01Akizungumza hivi karibuni na gazeti la Ujerumani la Der Spiegel Madeleine Albright, Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani amekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo ya kujiondoka katika mapatano muhimu ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa hatua hiyo inakinzana moja kwa moja na malengo aliyoyatangaza mwenyewe.
-
Zarif: Kikao cha Vienna kimesisitiza kuhusu kudhaminiwa maslahi ya taifa la Iran
Jul 06, 2018 09:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maslahi ya taifa la Iran lazima yadhaminiwe kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, na hilo ni jambo ambalo pia madola matano yaliyosalia katika JCPOA yanasisitiza.
-
Kifurushi 'cha kukatisha tamaa' cha Ulaya; kuendelea JCPOA kutategemea kikao cha Vienna
Jul 06, 2018 09:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa njia ya simu na Angela Merkel, Kansela wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na kuwafahamisha kwamba kifurushi cha kiuchumi cha Umoja wa Ulaya kilichowasilishwa kwa Iran ni cha 'kukatisha tamaa'.
-
Rais Rouhani: JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu
Jul 04, 2018 09:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu kwa ujumla.
-
Sisitizo jipya la Umoja wa Ulaya juu ya kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jul 04, 2018 02:53Maya Kuchiánchik, Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitizia azma ya Brussels kwa ajili ya kutekeleza kikamilifu na kwa namna chanya, makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Marais wa Iran na Uswisi wataka kudumishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jul 03, 2018 11:13Marais wa Iran an Uswisi wametilia mkazo udharura wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama matunda makubwa ya kisiasa na kusema, kulindwa kwa makubaliano hayo kuna manufaa kwa usalama na amani ya kimataifa.
-
Safari ya Rais Rouhani Uswisi na Austria kwa malengo muhimu ya uhusiano wa pande mbili na kimatiafa
Jul 03, 2018 02:49Rais Hassan Rouani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu alianza safari ya kuzitembelea Uswisi na Austria kufuatia mwaliko wa viongozi wa wa nchi hizo mbili za Ulaya. Rais Rouhani anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi katika safari hiyo
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza kulinda mapatano ya nyuklia ya Iran
Jul 03, 2018 00:08Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya amesisitzia kuwa umoja huo unataka mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana rasmi kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji,JCPOA, yatekelezwe kikamilifu.
-
Onyo la Trump kwa mashirika ya Ulaya; hatua mpya ya kuvuruga mapatano ya JCPOA
Jul 02, 2018 22:39Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kwamba atayawekea vikwazo mashirika yote ya Ulaya ambayo yataamua kufanya biashara na Iran.