-
Rais wa Iran: Endapo vikwazo vya kidhalimu vitaondolewa kuna uwezekano wa kufikiwa makubaliano
Jan 26, 2022 00:45Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo pande husika katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zitakuwa tayari kuliondolea vikwazo vya kidhalimu taifa hili, basi kuna uwezekano wa kufikiwa aina yoyote ya makubaliano kamili.
-
Iran: Hatujaamua kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani
Jan 25, 2022 04:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijafikia uamuzi wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani.
-
"Trump kujitoa JCPOA ndio uamuzi wa kipumbavu zaidi ndani ya miaka 50"
Jan 23, 2022 23:11Seneta mmoja mashuhuri huko Marekani amesema kitendo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump cha kujitoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, ndio uamuzi wa kipumbavu zaidi katika kipindi cha miaka 50 iliyopita.
-
Wall Street Journal: Iran inataka dhamana ya kisheria ili Marekani isijitoe tena katika JCPOA
Jan 18, 2022 03:52Jarida la Wall Street Journal limeripoti kuwa, Iran inataka ipatiwe dhamana ya kisheria ili Marekani isiweze kujitoa kwa mara nyingine tena ndani ya mapatano ya JCPOA.
-
White House: Kujitoa Trump kwenye mapatano ya JCPOA lilikuwa kosa kubwa
Jan 13, 2022 04:19Viongozi wa Ikulu ya Marekani, White House wamesema kuwa, kitendo cha Donald Trump cha kujitoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA lilikuwa ni kosa kubwa kutokana na rais huyo wa zamani wa Marekani kutokuwa na ratiba zozote za kukabiliana na yatakayotokea baada ya kujitoa kwake.
-
Iran yaijia juu WSJ ya US kwa kuchapisha makala ya kipumbavu
Jan 08, 2022 09:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelikosoa vikali gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal kwa kuchapisha makala ya kipumbavu na ya kihasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, wakati huu wa kuendelea kufanyika mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Iran huko Vienna.
-
Pande zote zathibitisha kupigwa hatua katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna
Jan 08, 2022 04:34Mwakilishi wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna amesema, pande zote washiriki katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna wamethibitisha kuwa hatua zimepigwa kwa ajili ya kufikia mwafaka juu ya mazungumzo hayo.
-
Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna
Dec 12, 2021 04:27Kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema:"Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA"
-
Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna
Dec 12, 2021 01:07Kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema:"Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA"
-
Mkuu wa CIA akiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi
Dec 07, 2021 23:26Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amekiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi.