Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Uwezo wa Iran wa kujihami angani umemfanya adui apoteze matumaini

    Uwezo wa Iran wa kujihami angani umemfanya adui apoteze matumaini

    Sep 01, 2019 06:55

    Brigedia Jenerali Alireza Sabahi Fard, Kamanda wa Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Khatamul Anbiya (SAW) cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akizingumza katika mkesha wa 'Siku ya Ulinzi wa Anga' ameashiria mafanikio ya Iran katika sekta ya ulinzi wa anga na kusema: "Uwezo wa Iran wa kujihami angani umemfanya adui apoteze matumaini."

  • Majeshi ya Iran yako tayari kukabiliana na maadui

    Majeshi ya Iran yako tayari kukabiliana na maadui

    Aug 28, 2019 03:33

    Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema majeshi yote ya Iran yako katika hali ya juu ya utayarifu wa kukabiliana na maadui.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yafichua: Kikosi cha jeshi la Ufaransa kinamsaidia Haftar

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yafichua: Kikosi cha jeshi la Ufaransa kinamsaidia Haftar

    Aug 22, 2019 22:01

    Maafisa wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya wamefichua kuwa kundi moja la jeshi la Ufaransa linalomsaidia jenerali mstaafu Khalifa Haftar limewajengea wapiganaji wa kiongozi huyo muasi kituo cha kurushia ndege zisizo na rubani katika bandari ya mafuta ya al Sidr huko kaskazini mwa Libya.

  • Mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran; Nguvu kuu na isiyo na shaka katika eneo

    Mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran; Nguvu kuu na isiyo na shaka katika eneo

    Aug 21, 2019 08:12

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limetoa taarifa kuadhimisha Siku ya Sekta ya Ulinzi nchini Iran na kuyataja mafanikio katika sekta hiyo ya ulinzi hapa nchini kuwa ni nguvu kuu na isiyo na shaka katika eneo la Asia Magharibi.

  • Jeshi la Iran lazindua mfumo wa rada wa Falaq wa ulinzi wa anga

    Jeshi la Iran lazindua mfumo wa rada wa Falaq wa ulinzi wa anga

    Aug 10, 2019 10:59

    Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limezindua mfumo wa rada wa ulinzi wa anga uliopewa jina la Falaq katika hafla iliyohudhuriwa na Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi.

  • Wanamuqawama wa Yemen wavurumisha makombora 4 ya Zilzal-1 kwenye ngome za askari wa Saudia

    Wanamuqawama wa Yemen wavurumisha makombora 4 ya Zilzal-1 kwenye ngome za askari wa Saudia

    Jul 26, 2019 23:42

    Jeshi na kamati za wananchi nchini Yemen limevurumisha makombora manne aina ya Zilzal-1 kwenye ngome za vibaraka wa muungano vamizi wa Saudia katika mikoa ya Aseer na Najran kusini mwa Saudia.

  • Jumamosi, 13 Julai, 2019

    Jumamosi, 13 Julai, 2019

    Jul 12, 2019 20:46

    Leo ni Jumamosi tarehe 10 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1440 Hijria mwafaka na tarehe 13 Julai 2019.

  • Mjumbe wa AU: Pande hasimu Sudan kusaini makubaliano ya kisiasa leo

    Mjumbe wa AU: Pande hasimu Sudan kusaini makubaliano ya kisiasa leo

    Jul 12, 2019 20:39

    Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wanatazamiwa kusaini makubaliano ya kisiasa leo Jumamosi, saa chache baada ya jeshi hilo kutangaza kuwa limezima jaribio la mapinduzi.

  • Pande hasimu za Sudan zakubaliana kugawana madaraka

    Pande hasimu za Sudan zakubaliana kugawana madaraka

    Jul 04, 2019 22:25

    Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wameafikiana juu ya suala la kugawana madaraka katika kipindi cha mpito kuelekea katika uchaguzi.

  • Pande mbili hasimu nchini Sudan zaanza tena mazungumzo ya ana kwa ana

    Pande mbili hasimu nchini Sudan zaanza tena mazungumzo ya ana kwa ana

    Jul 04, 2019 02:59

    Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wameanza tena mazungumzo ya moja kwa moja juu ya kipindi cha mpito baada ya kusitiishwa mazungumzo hayo kwa mwezi mzima kufuatia mauaji yaliyofanywa na jeshi la Sudan dhidi ya zaidi ya waandamanaji 100 mbele ya makao ya jeshi mjini Khartoum.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS