Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

  •  Syria kurejeshewa uanachama wa Arab League baada ya kupita miaka saba?

    Syria kurejeshewa uanachama wa Arab League baada ya kupita miaka saba?

    Dec 14, 2018 23:11

    Bunge la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu limeitaka Arab League iirejeshe Syria kuwa mwanachama wake, miaka saba baada ya kuvuliwa uanachama huo.

  • Arab League yaonya kuhusu azma ya Brazil ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds

    Arab League yaonya kuhusu azma ya Brazil ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds

    Dec 11, 2018 03:45

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeitahadharisha Brazil dhidi ya mpango wake wa kuuhamishia ubalozi katika mji wa Quds kutoka Tel Aviv, ikisisitiza kwamba hatua hiyo itakuwa na athari mbaya katika uhusiano wa nchi hiyo na nchi za Kiarabu.

  • Katibu Mkuu wa Arab League atoa tahadhari kuhusu hali ya nchi za Kiarabu

    Katibu Mkuu wa Arab League atoa tahadhari kuhusu hali ya nchi za Kiarabu

    Oct 24, 2018 23:03

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ametahadharisha kuwa nchi za Kiarabu zinakabiliwa na kipindi chenye mashaka makubwa.

  • Katibu Mkuu wa zamani wa Arab League: Kadhia ya Palestina haiwezi kuzimwa

    Katibu Mkuu wa zamani wa Arab League: Kadhia ya Palestina haiwezi kuzimwa

    Oct 20, 2018 23:06

    Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina haiwezi kufutika kamwe na kwamba ni jambo lisiloyumkinika kabisa kuwahamishia Wapalestina katika jangwa la Sinai.

  • Waarabu wataka utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Libya

    Waarabu wataka utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Libya

    Oct 15, 2018 04:15

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesisitizia haja ya kutafutwa utatuzi wa kimsingi na wa kudumu wa mgogoro wa Libya.

  • Arab League yaitaka jamii ya kimataifa iisaidie Palestina

    Arab League yaitaka jamii ya kimataifa iisaidie Palestina

    Oct 14, 2018 03:34

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani kushtadi wimbi la mauaji na jinai za kutisha dhidi ya Wapalestina zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, huku ikiitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura kukabiliana na jinai hizo.

  • Mkutano wa US na nchi za Kiarabu wa kuunda muungano dhidi ya Iran

    Mkutano wa US na nchi za Kiarabu wa kuunda muungano dhidi ya Iran

    Sep 29, 2018 04:44

    Marekani hapo jana ilikuwa mwenyeji wa wanadiplomasia wa ngazi za juu wa nchi za Kiarabu katika kikao kilichojadili mpango wa kuundwa eti muungano wa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yataka kufanyike uchunguzi kuhusu jinai za Israel  huko Palestina

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yataka kufanyike uchunguzi kuhusu jinai za Israel huko Palestina

    Jul 21, 2018 10:36

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu uhalifu na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa la Palestina.

  • Arab League yalaani kupasishwa sheria ya kutambuliwa Israel kama 'dola la Mayahudi pekee'

    Arab League yalaani kupasishwa sheria ya kutambuliwa Israel kama 'dola la Mayahudi pekee'

    Jul 19, 2018 22:56

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imelaani vikali hatua ya Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) yya kupasisha muswada wa sheria inayotaka kutambuliwa Israel kama 'dola la Mayahudi pekee'.

  • Wakuu wa ujasusi wa nchi za Kiarabu na Israel wafanya mkutano wa siri

    Wakuu wa ujasusi wa nchi za Kiarabu na Israel wafanya mkutano wa siri

    Jun 29, 2018 02:59

    Tovuti ya habari ya Ufaransa imefichua kuhusu mkutano wa siri kati ya wakuu wa idara za kijasusi za nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS