-
Imarati yakiri kwamba lilikuwa kosa kuiondoa Syria Arab League
Jun 07, 2018 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati amekiri wazi kwamba maamuzi ya kuiondoa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) yalikuwa makosa makubwa.
-
Akthari ya Walgeria wanataka nchi yao ijitoe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Jun 03, 2018 23:43Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Algeria yanaonyesha kuwa akthari ya raia wa nchi hiyo wanataka nchi yao ijiondoe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Zarif: Baadhi ya nchi za Kiarabu hazishughulishwi kabisa na masuala ya ulimwengu wa Kiislamu
May 18, 2018 10:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema baadhi ya nchi za Kiarabu zimejikurubisha na kujipendekeza kwa Marekani na utawala wa Kizayuni, na zimepuuza kabisa malengo na changamoto zinazoukabili ulimwengu wa Kiislamu.
-
Arab League yajitutumua, yataka kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za Mazayuni
May 17, 2018 23:45Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ametaka kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na jinai za hivi karibuni za utawala katili wa Israel dhidi ya Wapalestina katika eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Arab League yaitisha kikao cha dharura kujadili mauaji ya umati ya Wapalestina
May 16, 2018 03:00Huku nchi mbalimbali za dunia zikiendelea kulaani vikali mauaji ya umati yaliyofanywa na askari wa utawala bandia wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeaitisha kikao cha dharura kujadili ukatili huo.
-
Iran: Taarifa ya kikao cha Arab League imekariri madai hewa na uongo usio na tija
Apr 16, 2018 00:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa jibu kwa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), ambapo mbali na kusisitiza kwamba sera za msingi na za kudumu za Jamhuri ya Kiislamu ni kutoingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine, amebainisha kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi ya Iran katika baadhi ya vifungu vya taarifa hiyo hazikubaliki asilani.
-
Ujumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu kwa kikao cha wakuu wa Kiarabu huko Saudia
Apr 15, 2018 09:50Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imewatumia ujumbe wakuu wa nchi za Kiarabu ikiwataka waratibu mkakati wa kivitendo kwa ajili ya kufikiwa mapatano makubwa baina ya mataifa, serikali na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu.
-
Arab League yalaani jinai za karibuni za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Apr 09, 2018 02:42Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amelaani jinai za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Palestina.
-
Jumamosi, Machi 31, 2018
Mar 30, 2018 22:15Leo ni Jumamosi tarehe 13 Rajab 1439 Hijria sawa na tarehe 31 Machi 2018 Miladia.
-
Alkhamisi tarehe 22 Machi, 2018
Mar 21, 2018 21:52Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Rajab 1439 Hijria sawa na tarehe 22 Machi, 2018.