-
Sudan Kusini yaomba uanachama Arab League
Mar 06, 2018 23:48Sudan Kusini jana Jumanne iliwasilisha ombi rasmi la kuwa mwanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Uingereza yakosoa vitisho vya Trump vya kuanzisha vita vya kibiashara na EU
Mar 05, 2018 04:36David Lidington, Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amekosoa vikali vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani vya kuanzisha vita vya kibiashara na Umoja wa Ulaya.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yalaani tangazo la kuhamishia ubalozi wa Marekani Quds Tukufu
Feb 25, 2018 03:53Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani vikali hatua ya Marekani kutangaza kuwa itahamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu (Jerusalem).
-
Arab League: Hujuma dhidi ya Beitul-Muqaddas ni kucheza na moto
Feb 02, 2018 00:49Ahmed Aboul Gheit, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema kuwa, hujuma na uvamizi dhidi ya Beitul Muqaddas ni sawa na kucheza na moto.
-
Arab League: Sharti Quds itambulike kimataifa kama mji mkuu wa Palestina
Jan 07, 2018 04:18Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imesema karibuni hivi itaanzisha jitihada za kuhakikisha kuwa Umoja wa Mataifa na jamii ya kimataifa kwa ujumla inalitambua taifa la Palestina, mji mkuu wake ukiwa Quds Tukufu.
-
Kikao cha dharura cha nchi za Kiarabu kuhusu Quds Tukufu na maamuzi yaisyoweza kutekelezeka
Dec 11, 2017 04:28Mawaziri wa mashauri ya kigeni kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Jumamosi walikutana katika kikao cha dharura mjini Cairo Misri kujadili na kulaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutambua Quds Tukufu (Jerusalem) kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Lebanon yazitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo
Dec 10, 2017 03:36Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon amezitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo vya kiuchumi kutokana na hatua ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.
-
Palestina yaitisha mkutano wa OIC, Arab League Kujadili Tishio la Trump kwa Quds Tukufu
Dec 04, 2017 03:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Riad al-Maliki ametoa wito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC kuitisha mikutano ya kujadili hatima ya Quds Tukufu.
-
Arab League yaionya Marekani dhidi ya kuuhamishia ubalozi wake Quds
Dec 03, 2017 10:56Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeonya kuwa, kuhamishiwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi mji mtukufu wa Quds hakutakuwa na natija nyingine ghairi ya kuibua ghasia na kuvuruga zaidi hali ya mambo.
-
Indhari ya Lebanon kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Nov 27, 2017 10:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon ameamwandikia barua Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) akimwambia kwamba, umoja huo unapaswa kufungamana na makubaliano ya Waarabu ambayo yalitofautisha baina ya muqawama na ugaidi.