Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

  • Gebran Bassil: Jumuiya ya Nchi za Kiarabu inapaswa kutofautisha baina ya muqawama na ugaidi

    Gebran Bassil: Jumuiya ya Nchi za Kiarabu inapaswa kutofautisha baina ya muqawama na ugaidi

    Nov 25, 2017 12:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon ameamwandikia barua Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) akimwambia kwamba, umoja huo unapaswa kufungamana na makubaliano ya Waarabu ambayo yalitofautisha baina ya muqawama na ugaidi.

  • Wabunge wa Tunisia wakosoa taarifa ya Arab League dhidi ya Iran, Hizbullah

    Wabunge wa Tunisia wakosoa taarifa ya Arab League dhidi ya Iran, Hizbullah

    Nov 24, 2017 13:05

    Kundi la Wabunge wa Tunisia limekosoa taarifa iliyotolewa hivi karibuni na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu chini mashinikizo ya Saudi Arabia dhidi ya harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na hatua zake za kufunika jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na hatua zake za kufunika jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    Oct 10, 2017 09:39

    Misimamo ya uungaji mkono ya baadhi ya asasi na jumuiya za Kiarabu kwa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen katika siku za hivi karibuni pamoja na pirikapirika za asasi hizo za kuzitia dosari ripoti za Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai hizo zimekabiliwa na wimbi la ukosoaji wa fikra za waliowengi ulimwenguni.

  • Algeria yataka kurejea Syria katika Jumuiya ya Kiarabu

    Algeria yataka kurejea Syria katika Jumuiya ya Kiarabu

    Sep 24, 2017 04:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa uhusiano wa nchi hiyo na Syria ni wa kihistoria na kusisitiza kuwa Algeria inataka Syria irejee katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).

  • Iran, mhimili wa vita vya maneno baina ya Qatar na Saudia ndani ya Arab League

    Iran, mhimili wa vita vya maneno baina ya Qatar na Saudia ndani ya Arab League

    Sep 14, 2017 03:05

    Katika hali ambayo kwa mara nyingine moto wa mgogoro kati ya Qatar na Saudia umeibuka, wawakilishi wa nchi mbili katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kwa mara nyingine wameshambuliana kwa maneno kuhusiana na nasafi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Wanazuoni wa Iraq washangaa kimya cha nchi za Kiarabu kuhusu al-Aqsa

    Wanazuoni wa Iraq washangaa kimya cha nchi za Kiarabu kuhusu al-Aqsa

    Jul 26, 2017 03:18

    Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Iraq imeeleza kusikitishwa kwake na kimya cha watawala wa nchi za Kiarabu kuhusu hali mbaya ya mgogoro inayoikabili Quds na msikiti mtukufu wa al-Aqsa.

  • Arab League: Israel inacheza na moto kuhusu kadhia ya Quds

    Arab League: Israel inacheza na moto kuhusu kadhia ya Quds

    Jul 23, 2017 09:41

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba 'unacheza na moto' kutokana na kushadidisha ukandamizaji dhidi ya Wapalestina wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.

  • Palestina yataka Arab League iitishe kikao cha dharura kujadili ushawishi wa Israel Afrika

    Palestina yataka Arab League iitishe kikao cha dharura kujadili ushawishi wa Israel Afrika

    Jun 07, 2017 21:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) iitishe kikao cha dharura kujadili kuenea satua na ushawishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika bara la Afrika.

  • Balozi wa Misri katika Arab League atangaza mshikamano na Wapalestina wanaosusia kula katika jela za Israel

    Balozi wa Misri katika Arab League atangaza mshikamano na Wapalestina wanaosusia kula katika jela za Israel

    May 05, 2017 02:45

    Balozi wa Misri katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Arab League, ametangaza mshikamano na wafungwa wa Kipalestina waliogoma kula katika jela za utawala katili wa Kizayuni wa Israel.

  • Arab League yaitaka UN kufanya uchunguzi juu ya ukatili wanaofanyiwa wafungwa wa Kipalestina katika jela za Israel

    Arab League yaitaka UN kufanya uchunguzi juu ya ukatili wanaofanyiwa wafungwa wa Kipalestina katika jela za Israel

    May 04, 2017 23:31

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeutaka Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na ukandamizaji wanaofanyiwa wafungwa wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS