-
Arab League yautaka Msalaba Mwekundu kutetea wafungwa wa Palestina
Apr 27, 2017 03:44Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelitaka shirika la Msalama Mwekundu kuwaunga mkono na kusimama na wafungwa wa Palestina sambamba na kusaidia kukomeshwa jinai dhidi yao wanazofanyiwa na utawala haramu wa Israe.
-
Aboul Gheit: Ni baidi Misri kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ethiopia
Apr 14, 2017 11:42Katibu Mkuu wa Arab League Ahmed Aboul Gheit amesema kuwa, ni baidi Misri kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ethiopia kuhusiana na tofauti za nchi mbili juu ya ujenzi wa bwawa la al-Nahdha (Renaissance) katika mto Nile.
-
Michel Aoun: Ni mapema sana Arab League kuiita 'Ushirikiano wa Kiarabu'
Mar 30, 2017 23:37Rais Michel Aoun wa Lebanon ameonyesha masikitiko yake makubwa kwa kutokuwepo ushirikiano na uhusiano mzuri baina ya wajumbe wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Arab League kwa ajili ya kuondoa mizozo na matatizo ya nchi za eneo la Mashariki ya Kati.
-
Ijumaa, Machi 31, 2017
Mar 30, 2017 21:57Leo ni Ijumaa tarehe Pili Rajab 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 31 Machi, 2017 Milaadia.
-
Mauritania yataka migogoro ya ulimwengu wa Kiislamu itatuliwe kisiasa
Mar 29, 2017 22:01Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa Mauritania ametaka jitihada zaidi zifanyike za kuitafutia ufumbuzi wa kisiasa migogoro ya nchi za Kiarabu na Kiislamu
-
Jumatano, tarehe 22 Machi, 2017
Mar 21, 2017 21:49Leo ni Jumatano tarehe 23 Jamadithani 1438 Hijria sawa na Machi 22, 2017.
-
Misri yasisitiza udharura wa kurejea Syria katika Arab League
Mar 11, 2017 12:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa, mgogoro wa Syria unakaribia kupata ufumbuzi wa kisiasa na kusisitiza kuwa upo udharura wa kurejea nchi hiyo katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yakosoa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Feb 26, 2017 12:34Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imesema kuwa, jumuiya hiyo inapinga na kulaani hatua zozote zenye malengo maalumu na uvamizi wa utawala haramu wa Israel dhidi ya taifa na adhi za Palestina.
-
Arab League, Iraq zalaani ubaguzi wa Trump dhidi ya Waislamu
Jan 30, 2017 04:02Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeeleza wasi wasi wake mkubwa juu ya hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kupasisha sheria ya kuwazuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia Marekani.
-
Arab League yatahadharisha kuhusu kuhamishiwa ubalozi wa Marekani huko Baitul Muqaddas
Jan 13, 2017 11:02Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ametoa indhari kuhusu harakati zinazotekelezwa na serikali mpya ya Marekani za kutaka kuuhamishia ubalozi wake huko Baitul Muqaddas.