Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

  • Kuendelea kukosolewa utendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu vita dhidi ya ugaidi

    Kuendelea kukosolewa utendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu vita dhidi ya ugaidi

    Dec 25, 2016 00:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amekosoa utendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusu masuala ya eneo la Mashariki ya Kati na mapambano dhidi ya ugaidi.

  • Palestina; elekeo la macho ya jamii ya kimataifa

    Palestina; elekeo la macho ya jamii ya kimataifa

    Dec 22, 2016 04:19

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), Ahmad Abul Ghaith na Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya wamesisitiza kuwa kadhia ya Palestina inaendelea kuwa suala la msingi la kushughulikiwa kimataifa.

  • EU, Arab League zalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    EU, Arab League zalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Dec 21, 2016 10:54

    Umoja wa Ulaya EU na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelaani hatua ya utawala ghasibu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.

  • Amnesty: Ukiukaji wa haki za bindamu unaofanywa na nchi za Kiarabu ukomeshwe

    Amnesty: Ukiukaji wa haki za bindamu unaofanywa na nchi za Kiarabu ukomeshwe

    Dec 06, 2016 12:21

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kukomeshwa uvunjaji wa haki za binadamu unaofanywa na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.

  • Arab League yasisitiza udharura wa kukabiliana na vyombo vya habari vya Kiarabu vyenye misimamo mikali

    Arab League yasisitiza udharura wa kukabiliana na vyombo vya habari vya Kiarabu vyenye misimamo mikali

    Nov 01, 2016 04:14

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema upo udharura wa kukabiliana na vyombo vya habari vya Kiarabu vyenye misimamo mikali.

  • Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiarabu kwa mtazamo wa Rais wa zamani wa Tunisia

    Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiarabu kwa mtazamo wa Rais wa zamani wa Tunisia

    Oct 14, 2016 00:42

    Rais wa zamani wa Tunisia Muhammad al-Munṣif al-Marzūqī amesema, kutokana na kuendelea machafuko na vitendo vya kigaidi katika upeo wa kieneo, hali hiyo unayokabiliana nayo hivi sasa Ulimwengu wa Kiarabu itaendelea kushuhudiwa kwa muda wa miaka 10 hadi 20 ijayo.

  • Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa matamshi ya Katibu Mkuu wa A/League

    Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa matamshi ya Katibu Mkuu wa A/League

    Sep 07, 2016 23:34

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja madai ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kwamba Iran inaingilia masuala ya nchi za Kiarabu kuwa ni tuhuma zisizo na msingi na kurudia tuhuma zisizo na mpango za huko nyuma.

  • Iran yatoa jibu kwa matamshi ya upotoshaji ya Katibu Mkuu wa Arab League

    Iran yatoa jibu kwa matamshi ya upotoshaji ya Katibu Mkuu wa Arab League

    Aug 30, 2016 23:57

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga matamshi ya uingiliaji mambo ya ndani ya Iran yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vitatu vya Bumusa, Tomb Kubwa na Tomb Ndogo.

  • Zarif: Ulimwengu wa Kiarabu unakabiliwa na changamoto chungu nzima

    Zarif: Ulimwengu wa Kiarabu unakabiliwa na changamoto chungu nzima

    Aug 13, 2016 03:38

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema ulimwengu wa Kiarabu haswa katika eneo la Mashariki ya Kati unakabiliwa na changamoto nyingi na kwamba Jamhuri ya Kiislamu sio miongoni mwa matatizo ya nchi za Kiarabu.

  • Arab League yalaani kuendelezwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Arab League yalaani kuendelezwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Aug 01, 2016 03:03

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imelaani hatua ya Israel ya kuendeleza ujenzi wa nyumba nyingine za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS