-
Katibu Mkuu wa Arab League: Iraq imefanikiwa kuzuia uchochezi
Sep 07, 2022 07:59Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ameashiria baadhi ya mapigano ya hivi karibuni katika kivuli cha mivutano ya kisiasa huko Iraq na mbinu za viongozi wa nchi hiyo kwa lengo la kuhitimisha hali hiyo na kueleza kuwa: Iraq imeweza kudhibiti uchochezi nchini.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kutapelekea kudhalilika madola ya Kiarabu
Jun 08, 2022 11:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema tawala za Kiarabu zilizokhitari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel bila ridhaa ya wananchi wao hazitakumbwa na hatima nyingine ghairi ya kuishia kudhalilishwa na kutumiwa vibaya na utawala huo haramu.
-
Jumanne, Machi 22, 2022
Mar 22, 2022 02:45Leo ni Jumanne tarehe 19 Shaabani 1443 Hijria sawa na Machi 22 Mwaka 2022 Milaadia.
-
Iran yapinga tuhuma zisizo na msingi za Arab League
Mar 11, 2022 08:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha madai yaliyotolewa dhidi ya taifa hili katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Aboul Gheit: Maambukizi ya corona yamezidisha umaskini katika Ulimwengu wa Kiarabu
Feb 14, 2022 03:20Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema janga la corona limezidisha pakubwa umaskini na ukosefu wa ajira miongoni mwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
-
Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; kushindwa siasa za kuvuruga usalama wa eneo
Nov 26, 2021 10:35Mwanachama wa Kamisheni ya Usalama wa Kitaifa na Siasa za kigeni ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema ombi la nchi za Kiarabu la kutaka Syria irejeshwe katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League, ni alama ya kushindwa siasa za kuvuruga usalama na kutaka kubadilisha muundo wa siasa nchini Syria.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaunga mkono mwafaka wa kisiasa uliofikiwa nchini Sudan
Nov 24, 2021 16:19Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema, jumuiya hiyo inaunga mkono makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa nchini Sudan.
-
Iran yalaani tuhuma za kuaibisha zilizotolewa na inayojiita kamati ya pande nne ya Jumuiya ya Waarabu
Sep 10, 2021 12:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani tuhuma za kuaibisha zilizotolewa na inayojiita kamati ya pande nne ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ethiopia yapinga azimio la Arab League kuhusu Bwawa la Renaissance
Jun 17, 2021 02:27Ethiopia imepinga na kukosoa vikali azimio lililopasishwa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu linalolitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liingilie kati mgogoro juu ya Bwawa la al-Nahdha.
-
Hatimae Arab League yajitutumua kujadili jinai za utawala wa Kizayuni
May 09, 2021 05:50Hatimaye Jumuiya ya nchi za Kiarabu (Arab League) imeamua kuitisha kikao cha kuchukua maamuzi kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia ombi la Mamlaka ya Ndani ya Palestina.