-
Arab League: Maazimio ya Baraza la Usalama la UN kuhusu ulazima kuondoka maghasibu huko Palestina yatekelezwe
Apr 21, 2021 02:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesisitiza udharura wa kutekelezwa maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayotaka kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Russia yasisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Arab League
Apr 13, 2021 02:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Arab League yatakiwa iache kutoa taarifa zisizo na msingi
Mar 06, 2021 08:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ijiepushe na tabia yake ya kutoa taarifa zisizo na msingi wowote na badala yake, ikumbatie mambo ambayo yanaweza kuimarisha ushirikiano wa nchi za eneo.
-
Ukosoaji wa kuchelewa wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina
Jan 30, 2021 02:44Akizungumza Jumanne katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoandaliwa kwa ajili ya kujadili masuala ya eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) Ahmad Abu al-Ghait, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu au kwa jina jingine Arab League, alisema kuwa Wapalestina wamepitia mashinikizo makubwa yasiyo na mfano wake katika miaka minne ya utawala wa rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump.
-
Arab League yataka kuokolewa mateka wa Kipalestina katika jela za Israel
Nov 12, 2020 07:33Kufuatia kufa shahidi mateka Mpalestina Kamal Abu Waar akiwa katika jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa mwito wa kuchukiliwa hatua za dharura za kuwanusuru mateka wengine wa Kipalestina wanaozuiliwa katika mazingira ya kuogofya katika jela na korokoro hizo za Wazayuni.
-
Qatar nayo yakataa kuchukua uwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Sep 25, 2020 11:17Serikali ya Qatar imekataa kuchukua uwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League badala ya Palestina ambayo nayo ilikataa uwenyekiti huo ikilalamikia hatua ya baadhi ya mataifa ya jumuiya hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mwito watolewa wa kuligeuza jengo la Arab League kuwa ukumbi wa harusi
Sep 14, 2020 07:02Wanaharakati wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii ya kutaka jengo la makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaliyoko nchini Misri ligeuzwe kuwa ukumbi wa harusi.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na udhaifu katika kutetea maslahi ya Waarabu
Sep 10, 2020 10:56Kikao cha Jumatano ya jana cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiarabu (Arab League) kilichofanyika kwa njia ya video, kilimaliza kazi zake kwa kuunga mkono mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na Israel.
-
Kamati ya pande nne ya Kiarabu yarudia madai yake ya kila siku dhidi ya Iran
Sep 10, 2020 01:23Kamati ya pande nne ya nchi za Kiarabu kwa mara nyingine tena imerudia madai yake ya kila siku na yasiyo na msingi wowote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pambizoni mwa kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Mtifuano wa ana kwa ana kati ya Palestina na asasi za Waarabu kuhusu Makubaliano ya Abraham
Sep 09, 2020 13:36Kikao cha leo cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League kimefanyika wakati msimamo ulioonyeshwa na jumuiya hiyo pamoja na Baraza Kuu la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi GCC, hususan katika siku za karibuni kuhusu mapatano yaliyofikiwa kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel umethibitisha kuwa, tajiriba ya uchukuaji maamuzi kitaasisi katika Ulimwengu wa Kiarabu imefeli;