-
Kundi la kwanza la wanajeshi wa Kenya latua mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nov 13, 2022 01:13Wanajeshi wa Kenya jana Jumamosi walitua katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo' ambapo walilakiwa na maafisa husika na wanajeshi wa Kongo katika eneo.
-
Marubani wa Kenya Airways wasitisha mgomo, waanza kazi
Nov 09, 2022 07:34Marubani wa Kampuni ya ndege ya Kenya, Kenya Airways mapema leo wamerejea kazini baada ya muungano wao (Kalpa), kusitisha mgomo uliovuruga safari za ndege kwa siku kadhaa.
-
Shirika la Ndege la Kenya kuwapiga kalamu marubani waliogoma
Nov 05, 2022 23:58Makumi ya maelfu ya wasafiri wa ndani na nje ya nchi wameachwa katika njiapanda katika viwanja vya ndege vya Kenya, baada ya safari zao kukatizwa kutokana na mgomo wa marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ).
-
Marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways kuanza mgomo kesho Jumamosi
Nov 04, 2022 07:52Marubani wa Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, wanatarajiwa kuanza mgomo kesho kutilia mkazo madai yao ya mazingira bora ya kazi, licha ya mahakama ya nchi hiyo kuamuru mgomo huo usitishwe.
-
Rais wa Kenya atangaza vita dhidi ya waasi wa M23 wa DRC
Nov 02, 2022 23:00Rais William Ruto wa Kenya ametangaza habari ya kutumwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanajeshi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, kwenda kukabiliana na magenge ya wanamgambo likiwemo kundi la waasi la M23.
-
Maisha ya Wakenya milioni nne na laki tatu yako hatarini kutokana na baa la njaa
Oct 08, 2022 03:49Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua za kutosha unahatarisha maisha ya mamilioni ya raia katika eneo la Pembe ya Afrika wakati mashirika ya kutoa misaada yanaendelea kuihimiza jamii ya kimataifa iwasaidie raia wanaoendelea kutaabika kutokana na baa la njaa.
-
Ajali zaua watu 145 nchini Kenya ndani ya wiki moja
Oct 01, 2022 02:38Watu wasiopungua 145 wamepoteza maisha katika matukio tofauti ya ajali za barabarani nchini Kenya ndani ya siku saba zilizopita.
-
Kenya yazidisha hatua za kufuatilia kesi za Ebola katika mpaka wake na Uganda
Sep 29, 2022 04:32Maafisa wa Afya katika mji wa Busia wamezidisha jitihada za kuwapima na kufuatilia kesi za maambukizi ya ugonjwa wa Ebola ikiwa ni katika juhudi za kuzuia msambao wa virusi vya ugonjwa huo katika maeneo ya mpakani.
-
William Ruto aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya
Sep 13, 2022 06:59William Samoei Ruto ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (KDF).
-
Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto
Sep 05, 2022 06:52Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na mgombea wa urais wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022.