-
Miguna Miguna: Uchaguzi wa rais 2022 Kenya hautakuwa huru na wa haki
Oct 28, 2021 07:38Wakili maarufu Mkenya, Miguna Miguna amedai kuwa uchaguzi wa urais wa 2022 hautakuwa wa kuaminika na kitakachofanyika ni kutawazwa kwa mgombea mmoja.
-
Somalia yatoa wito wa kushirikiana na Kenya baada ya uamuzi wa ICJ
Oct 13, 2021 22:52Rais wa Somalia amesema katika hotuba yake aliyotoa jana Jumatano kwamba, uamuzi uliotolewa siku ya Jumanne na Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu mzozo wa mpaka na Kenya ni fursa kwa nchi mbili hizo kushirikiana.
-
Kenya yapinga uamuzi wa ICJ kuhusu mzozo wa mpaka wa baharini na Somalia
Oct 13, 2021 09:28Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amepinga uamuzi uliotolewa jana Jumanne na Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ), kuhusu mzozo wa muda mrefu wa nchi hiyo na Somalia juu ya mpaka wa baharini wa pande hizo mbili.
-
ICJ yakataa madai ya Kenya katika mzozo wa mpaka wa baharini na Somalia
Oct 12, 2021 12:41Mahakama ya UN imetoa uamuzi kwa maslahi ya Somalia katika mzozo wa muda mrefu wa nchi hiyo na Kenya juu ya mpaka wa baharini wa pande hizo mbili.
-
Odinga: Uchaguzi wa 2022 utakuwa huru na wa haki, vijana watapewa nafasi zaidi
Oct 12, 2021 10:20Kiongozi wa chama cha upinzani cha ODM, Raila Odinga amewahakikishia Wakenya kuwa uchaguzi wa urais wa 2022 utakuwa huru na wa haki.
-
Kenya yapinga mamlaka ya Mahakama ya UN kabla ya kutoa uamuzi kuhusu mpaka wa Somalia
Oct 08, 2021 23:59Kenya jana Ijumaa ilisema kuwa inapinga mamlaka rasmi ya utoaji maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kabla ya kutoa uamuzi wiki ijayo kuhusu mzozo wa muda mrefu wa eneo la bahari kati yake na Somalia.
-
Wabunge wa Kenya wataka Waziri wa Mambo ya Ndani atimuliwe
Oct 08, 2021 13:11Baadhi ya Wabunge wa Kenya wanajianda kumuondoa mamlakani Waziri wa Masuala ya Ndani wa nchi hiyo, Fred Matiang'i.
-
Wakenya wapewa matumaini ya kupungua bei ya mafuta na ughali wa maisha
Oct 03, 2021 11:22Wananchi wa Kenya wamepata matumaini ya kupungua bei ya mafuta nchini humo ambayo imekuwa mzigo kwa raia baada ya Mamlaka ya Kusimamia Kawi na Petroli Nchini (EPRA) kupandisha bei ya bidhaa hiyo.
-
Kenya yachukua urais wa UNSC, yatoa msimamo wake kuhusu hatima ya wakimbizi Wasomali
Oct 02, 2021 00:05Balozi wa Kenya katika Umoja wa Mataifa amesema, katika kipindi cha urais wa mwezi mmoja wa nchi hiyo kwenye Baraza la Usalama la umoja huo mnamo mwezi huu wa Oktoba, itaitishwa mikutano minne ya ngazi ya juu ambapo miwili itahutubiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo na mingine miwili itakuwa ni ya ngazi ya mawaziri itakayohutubiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa taifa hilo la Afrika Mashariki Balozi Raychelle Omamo.
-
Rais Kenyatta anawataka Wakenya kutekeleza jukumu lao katika kulinda usalama wa nchi
Sep 23, 2021 11:24Rais Uhuru Kenyatta amekumbusha Wakenya kutekeleza jukumu lao la kiraia la kuilinda nchi akisema usalama wa Kenya, uhuru wake na ustawi sio suala makhsusi kwa taasisi za usalama za serikali.