Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • HRW yaikosoa Kenya kwa kushindwa kukabiliana na ongezeko la unyanyasaji wa kijinsia

    HRW yaikosoa Kenya kwa kushindwa kukabiliana na ongezeko la unyanyasaji wa kijinsia

    Sep 21, 2021 23:52

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeilaumu serikali ya Kenya kwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na ongezeko la vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vilivyojiri wakati wa maambukizi ya corona hususan wakati wa utekelezaji wa zuio la kusalia majumbani ili kuzuia maambukizi ya COVID-19.

  • Waziri wa zamani wa michezo Kenya ahepa kifungo cha miaka 6 jela kwa hatia ya ufisadi

    Waziri wa zamani wa michezo Kenya ahepa kifungo cha miaka 6 jela kwa hatia ya ufisadi

    Sep 16, 2021 09:05

    Habari za karibuni zinasema kuwa, aliyekuwa Waziri wa Michezo wa Kenya Hassan Wario sasa yuko huru baada ya kulipa faini ya shilingi milioni 3 saa chache baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kuhusiana na sakata ya Rio 2016.

  • Viongozi wa Kiislamu Kenya: Visa vya kupotezwa washukiwa vimeongezeka

    Viongozi wa Kiislamu Kenya: Visa vya kupotezwa washukiwa vimeongezeka

    Sep 13, 2021 06:39

    Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wameishutumu serikali kwa kuongezeka kwa visa vya kupotezwa washukiwa wa ugaidi nchini humo.

  • Maelfu ya Wakenya wataka kuelekea Saudia kutafuta kibarua licha ya manyanyaso wanayokumbana nayo

    Maelfu ya Wakenya wataka kuelekea Saudia kutafuta kibarua licha ya manyanyaso wanayokumbana nayo

    Sep 09, 2021 08:11

    Licha ya simulizi za kuatua moyo kuhusu madhila wanayopitia wakiwa huko Saudi Arabia, maelfu ya Wakenya wamekwama Nairobi wakilalamikia kuchelewa kupata tiketi ya ndege kwenda kufanyia kazi Uarabuni.

  • Waislamu Kenya walaani MUHURI kuajiri ‘mtetezi wa mashoga’

    Waislamu Kenya walaani MUHURI kuajiri ‘mtetezi wa mashoga’

    Sep 01, 2021 03:02

    Waislamu nchini Kenya wameliomba Baraza Kuu la Waislamu nchini humo (SUPKEM) liingilie kati kuhusu uamuzi wa shirika la kutetea haki za Waislamu la Muslims for Human Rights (MUHURI) wa kuajiri Mkurugenzi Mkuu anayedaiwa kuwa mtetezi wa wapenzi wa jinsia moja.

  • Odinga asema Wakenya watajutia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa wa kukataa BBI

    Odinga asema Wakenya watajutia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa wa kukataa BBI

    Aug 27, 2021 07:37

    Kiongozi wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga amesema kugonga mwamba mchakato wa kurekebisha Katiba kupitia Mpango wa Maridhiano (BBI) kutakuwa na taathiri mbaya kwa mandhari ya kijamii na kisiasa ya Kenya katika siku zijazo.

  • Raila aendelea kutafuta njia ya kujinasua kwenye mkwamo wa BBI

    Raila aendelea kutafuta njia ya kujinasua kwenye mkwamo wa BBI

    Aug 23, 2021 08:51

    Kiongozi wa Chama cha ODM nchini Kenya Bw Raila Odinga, natarajiwa kukutana na wabunge wote wa chama chake wiki hii, baada ya mchakato wa kurekebisha Katiba kupitia Mpango wa Maridhiano (BBI) kugonga mwamba.

  • Rais wa Kenya akutana na Raila, viongozi wa Muungano wa Kenya Moja, ajenda ni uchaguzi wa rais 2022

    Rais wa Kenya akutana na Raila, viongozi wa Muungano wa Kenya Moja, ajenda ni uchaguzi wa rais 2022

    Aug 10, 2021 08:00

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Jumanne ya leo amekutana na kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga na wakuu wa muungano wa One Kenya Alliance (OKA) Ikulu huko Mombasa.

  • Chama tawala Uganda chakanusha madai ya kutaka kuingilia uchaguzi wa Kenya

    Chama tawala Uganda chakanusha madai ya kutaka kuingilia uchaguzi wa Kenya

    Aug 08, 2021 03:28

    Chama tawala nchini Uganda cha National Resistance Movement (NRM) kinachoongozwa na Rais Yoweri Museveni kimekishutumu vikali chama kikuu cha upinzani nchini Kenya ODM kinachoongozwa na Raila Odinga, kwa kudai kuwa kinalenga kushirikiana na Naibu Rais William Ruto kuibua machafuko ya uchaguzi nchini humo.

  • Roboti wapima Covid-19 na kunyunyiza dawa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, Kenya

    Roboti wapima Covid-19 na kunyunyiza dawa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, Kenya

    Aug 04, 2021 03:04

    Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP nchini Kenya linaendesha programu ya majaribio ya kutumia roboti katika kupima afya za wasafiri wanaoingia na kutoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa Jomo wa Kenyatta jijini Nairobi pamoja na Hospitali Kuu ya Taifa ya Kenyatta lengo likiwa ni kuongeza ufanisi na kuwapunguzia mzigo watendaji wa sekta ya afya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS