-
Kenya yatakiwa itangeze uvamizi wa nzige wa jangwani kuwa maafa ya kitaifa
Jan 17, 2020 08:50Serikali ya Kenya imetakiwa kutangaza uvamizi mkubwa wa nzige wa jangwnai nchini humo kuwa ni maafa ya kitaifa kutokana na uharibifu mkubwa unaosababishwa na wadudu hao.
-
Kambi ya jeshi la Kenya ambayo wamo askari wa Marekani yashambuliwa
Jan 05, 2020 11:59Maafisa usalama nchini Kenya wametangaza kujiri shambulizi dhidi ya kambi ya jeshi la nchi hiyo ambayo wapo askari wa Marekani ndani yake.
-
Jeshi la Kenya lazima shambulizi la al-Shabaab Lamu, magaidi 4 wauawa
Jan 05, 2020 04:30Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limetangaza habari ya kuangamiza wanachama wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu, kusini mashariki mwa Kenya, mpakani na Somalia.
-
'Al-Shabaab' yateka basi na kuua abiria kaunti ya Lamu, Kenya
Jan 02, 2020 10:02Kwa akali watu watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kuteka nyara basi la abiria katika kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya.
-
Familia zaidi ya 6000 zaathiriwa na mafuriko magharibi mwa Kenya
Dec 29, 2019 04:25Afisa wa serikali ya Kenya jana alisema kuwa familia zaidi ya 6000 katika mji wa Kisumu magharibi mwa nchi hiyo zimeathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoanza mapema wiki jana katika mkesha wa Krismasi.
-
Wakenya wanaoishi nje ya nchi watuma nyumbani dola bilioni 2.546
Dec 21, 2019 21:45Raia wa Kenya wanaoishi na kufanya kazi nje ya nchi hiyo wametuma nyumbani dola bilioni 2.546 za Kimarekani sawa na Ksh. bilioni 256.4 katika kipindi cha miezi 11 ya mwaka 2019 ikiwa ni ongezeko la asilimia 3.8 ikilinganishwa na kipindi sawa na hicho mwaka jana.
-
Alkhamisi tarehe 12 Disemba 2019
Dec 12, 2019 04:37Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Rabiuthani 1441 Hijria wasa na Disemba 12 2019.
-
Gavana wa Nairobi apandishwa kizimbani, akana mashtaka yanayomkabili
Dec 09, 2019 08:54Gavana wa jiji la Nairobi nchini Kenya Mike Mbuvi Sonko, amekana mashtaka yanayomkabili, ya ufisadi na uhalifu wa kiuchumi unaohusisha mamilioni ya dola, wakati alipofikishwa mahakamani mapema leo.
-
Shambulizi la al-Shabaab dhidi ya basi la abiria laua 10 Kenya
Dec 07, 2019 03:45Watu 10 wamethibitishwa kuuawa katika shambulizi dhidi ya basi la abiria linaloaminika kufanywa na genge la kigaidi na kitakfiri al-Shabaab katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya mpakani na Somalia.
-
Viongozi wa Kenya wazindua ripoti ya BBI + Sauti
Nov 28, 2019 03:32Viongozi nchini Kenya wamezindua ripoti ya uwiano na utangamano wa kisiasa huku wakifanya juhudi za kuleta muamko mpya wa kisiasa na mshikamano katika kila fani ya maisha nchini humo. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa...