-
Zaidi ya familia 50 zahamishwa katika mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na mafuriko + Sauti
Nov 25, 2019 12:10Familia zaidi ya 50 zimehamishwa kutoka kwenye mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na kuhofia maafa yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazonyesha mfululizo. Kigozi Ismail na ripoti zaidi kutoka Kampala.
-
SAUTI, Mkasa wa kusikitisha kuhusiana na tukio la maporomoko ya ardhi na mafuriko nchini Kenya
Nov 25, 2019 07:40Viongozi wa serikali ya Kenya wametangaza habari ya kuongezeka idadi ya wahanga wa mafuriko na maporomoko ya ardhi kuwa imefikia watu 60.
-
Watu 24 wapoteza maisha katika maporomoko ya ardhi Kenya
Nov 23, 2019 09:44Watu wasiopungua 24 wamepoteza maisha magharibi mwa Kenya kufuatia maporomoko ya ardhi katika Kaunti ya West Pokot.
-
UNFPA yataka dhuluma dhidi ya wanawake katika jamii zikomeshwe
Nov 14, 2019 10:58Mmoja kati ya wanawake watatu duniani hukumbana na dhuluma za kijinsia kutoka kwa wapenzi au waume zao.
-
Rais Kenyatta afuta ajenda ya ubaradhuli katika Kongamano la Kimataifa Nairobi
Nov 10, 2019 03:57Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefutilia mbali mpango wowote wa kujumuishwa kadhia ya ubaradhuli kama moja ya ajenda za Kongamano la Kimataifa la Idadi ya Watu litakalofanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi.
-
Wakenya laki moja waishtaki Uingereza kutokana na jinai za ukoloni wake
Oct 30, 2019 10:31Zaidi ya Wakenya 100,000 wamewasilisha mashtaka kwa Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa kikoloni wa Uingereza kutokana na jinai ya kuwapora ardhi zao zenye rutuba na kuwapeleka sehemu kame.
-
SAUTI, Serikali ya Kenya: Hadi sasa watu 29 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko ya mvua zinazonyesha nchini
Oct 24, 2019 13:24Serikali ya Kenya imethibitisha kufariki dunia watu 29 kutokana na mafuriko yanayotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Kenya yaomba msaada wa UN kupambana na majangili + Sauti
Oct 24, 2019 04:07Kenya imesalimu amri na kuuomba Umoja wa Mataifa uisaidie kukabiliana na biashara za uwindaji haramu. Serikali ya Kenya imesema, licha ya juhudi zake za kupambana na ujangili, lakini bado kazi ni pevu na inahitajia msaada wa kimataifa. Mwandishi wetu Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.
-
Kipchoge wa Kenya aweka historia mbio za Marathon, akimbia chini ya masaa mawili
Oct 12, 2019 09:03Bingwa wa mbio za Marathon duniani, Eliud Kipchoge wa Kenya amekuwa mwanadamu wa kwanza katika mbio za marathon kukimbia kilomita 42 chini ya saa mbili.
-
Kenya ina idadi kubwa ya watumiaji wa dawa za kulevya
Oct 08, 2019 00:59Wizara ya Afya ya Kenya imeripoti kuwa nchi hiyo inaendelea kushuhudia watumiaji wengi za madawa ya kulevya.