Waislamu Kenya waadhimisha Siku ya Vazi la Hijab Duniani + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i58883-waislamu_kenya_waadhimisha_siku_ya_vazi_la_hijab_duniani_sauti
Vyama vya Kiislamu nchini Kenya vimehimizwa kushadidisha hamasa juu ya vazi la hijab miongoni mwa Waislamu kama njia pekee ya kukinusuru kizazi cha Kiislamu dhidi ya sheria dhalimu zinazomkandamiza binti wa Kiislamu. Mwito huo umetolewa sanjari na maadhimisho ya Siku ya Vazi la Hijab Duniani ambayo huadhimishwa Februari Mosi kila mwaka. Seifullah Muurtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 01, 2020 12:17 UTC