Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • ICJ kuangalia upya ombi la Kenya juu ya mzozo wa mpaka wa bahari na Somalia

    ICJ kuangalia upya ombi la Kenya juu ya mzozo wa mpaka wa bahari na Somalia

    Oct 05, 2019 23:21

    Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) inatazamiwa wiki ijayo kuangalia upya ombi la Kenya la kutaka kuakhirishwa kwa muda wa mwaka mmoja kesi ya mzozo wa mpaka wa baharini baina ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Somalia.

  • Kenya yatangaza kampeni kubwa ya kupambana na silaha haramu + Sauti

    Kenya yatangaza kampeni kubwa ya kupambana na silaha haramu + Sauti

    Sep 26, 2019 22:59

    Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kuwa watatumia mkono wa chuma kukabiliana na wale wote wanaomiliki silaha haramu nchini humo. Amesema watu hao watahesabiwa ni wahalifu wenye silaha hatari kwa maisha ya raia. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.

  • SAUTI, Serikali ya Kenya yaahidi kuchukua hatua kali kufuatia mkasa wa kuporomoka kwa paa ya shule iliyoua wanafunzi

    SAUTI, Serikali ya Kenya yaahidi kuchukua hatua kali kufuatia mkasa wa kuporomoka kwa paa ya shule iliyoua wanafunzi

    Sep 23, 2019 13:42

    Nchini Kenya huzuni imeendelea kutawala kufuatia kuporomoka kwa paa ya darasa ya Shule ya Precious Talent mjini Nairobi mapema Asubuhi ya leo na kusababisha maafa kwa wanafunzi wa shule hiyo.

  •  ICJ yaakhirisha kesi ya mzozo wa Kenya na Somalia kuhusu mpaka wa bahari

    ICJ yaakhirisha kesi ya mzozo wa Kenya na Somalia kuhusu mpaka wa bahari

    Sep 06, 2019 08:05

    Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imeahirisha kwa muda wa miezi miwili kusikilizwa kesi ya mzozo wa mpaka wa baharini baina ya Somalia na Kenya.

  • Tume ya Kupambana na Ufisadi Kenya yazuia kuunganishwa Telkom na Airtel ili kuchunguza ufisadi

    Tume ya Kupambana na Ufisadi Kenya yazuia kuunganishwa Telkom na Airtel ili kuchunguza ufisadi

    Aug 28, 2019 22:06

    Tume ya Kupambana na Ufisadi Kenya (EACC) imesema imesimamisha mpango wa kuunganishwa kampuni ya simu ya binafsi ya Airtel na ile ya Telkom, ambayo sehemu moja ya hisa yake inamilikiwa na serikali, ili kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha yanayodaiwa kufanywa katika kampuni ya Telkom.

  • Kusafirishwa shehena ya kwanza ya mafuta ya Kenya kwaibua madai ya mgao wa mapato

    Kusafirishwa shehena ya kwanza ya mafuta ya Kenya kwaibua madai ya mgao wa mapato

    Aug 26, 2019 22:12

    Kenya imesafirisha kwa ajili ya kuuza nje ya nchi shehena yake ya kwanza ya mafuta ghafi jana Jumatatu, huku viongozi wa maeneo inakopatikana maliasili hiyo wakiitaka serikali itekeleze ahadi yake ya kugawa kwa haki na kama ilivyoafikiwa mapato yatakayopatikana katika shehena zijazo.

  • Kenya: Mgogoro wa mpaka wa baharini kati yetu na Somalia utatuliwe kwa mazungumzo

    Kenya: Mgogoro wa mpaka wa baharini kati yetu na Somalia utatuliwe kwa mazungumzo

    Jul 20, 2019 05:00

    Serikali ya Kenya inaendelea kusisitiza kuwa, nchi jirani ya Somalia inapaswa kuheshimu mamlaka ya ardhi ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki, huku Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ ikitazamiwa kutoa hukumu mwezi Septemba mwaka huu, juu ya mvutano wa mpaka wa baharini kati ya nchi mbili hizo.

  • Wakenya waendelea kujadili kauli ya Raphael Tuju kuwa Odinga alitumia suala la kujitenga, kumsuka Rais Kenyatta akubali handisheki

    Wakenya waendelea kujadili kauli ya Raphael Tuju kuwa Odinga alitumia suala la kujitenga, kumsuka Rais Kenyatta akubali handisheki

    Jul 15, 2019 12:15

    Wananchi wa Kenya wameonyesha kushangazwa na kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Jubilee, nchini Kenya, Raphael Tuju, aliyesema jana kuwa, kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga alitumia suala la kujitenga kwa baadhi ya maeneo yaliyokuwa yakimuunga mkono kwenye uchaguzi wa mwaka 2017, ili kumsukuma Rais Uhuru Kenyatta aweze kukubali kadhia ya handisheki.

  • Watanzania na Wakenya ni miongoni mwa 26 waliouawa katika shambulizi Somalia

    Watanzania na Wakenya ni miongoni mwa 26 waliouawa katika shambulizi Somalia

    Jul 13, 2019 08:14

    Idadi ya watu waliouawa katika shambulio la kigaidi dhidi ya hoteli moja kusini mwa Somalia imeongezeka na kufikia watu 26. Awali Polisi ya Kismayo iliripoti kuwa waliouawa katika hujuma hiyo ya kigaidi ni watu saba.

  • Ripoti: Wakenya zaidi ya milioni 2 katika hatari ya kufa njaa

    Ripoti: Wakenya zaidi ya milioni 2 katika hatari ya kufa njaa

    Jul 02, 2019 07:17

    Mamilioni ya Wakenya wapo katika hatari ya kukumbana na baa la njaa na mgogoro mkubwa wa chakula kuanzia mwezi huu wa Julai.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS