Kenya yatangaza kampeni kubwa ya kupambana na silaha haramu + Sauti
Sep 26, 2019 22:59 UTC
Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kuwa watatumia mkono wa chuma kukabiliana na wale wote wanaomiliki silaha haramu nchini humo. Amesema watu hao watahesabiwa ni wahalifu wenye silaha hatari kwa maisha ya raia. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.
Tags