-
Uchaguzi Kenya: Kofi Annan amtaka Raila Odinga atumie njia za kisheria
Aug 13, 2017 23:04Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, ambaye alikuwa mpatanishi mkuu baada ya mzozo wa kisiasa nchini Kenya miaka kumi iliyopita, ametoa wito kwa walioshindwa katika uchaguzi wa Kenya kutumia mifumo ya kisheria kwa ajili ya kutafuta haki.
-
Odinga: Kesho Jumatatu msiende kazini, Jumanne nitatoa tangazo muhimu
Aug 13, 2017 09:18Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amewataka wafuasi wake wasiende kazini kesho Jumatatu na wajiandae kupokea kile alichokitaja kuwa maelekezo na tangazo zito litakalotikisa taifa siku ya Jumanne.
-
Katibu Mkuu wa UN awataka viongozi wa Kenya kutatua mzozo wa uchaguzi kupitia mamlaka husika
Aug 13, 2017 03:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewapongeza Wakenya kwa kushiriki kwa amani katika uchaguzi mkuu wa Agosti 8.
-
SAUTI, Wizara ya Usalama wa Ndani Kenya: Polisi haijatumia nguvu kuwazuia wanaoandamana kwa amani nchini
Aug 12, 2017 11:43Usalama umeimarishwa kikamilifu katika maeneo yanayoaminika kuwa ngome za upinzani nchini Kenya kwa lengo la kuzuia machafuko.
-
Ushindi wa Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa Rais nchini Kenya
Aug 12, 2017 03:54Hatimaye na baada ya mjadala mkubwa kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 8 Agosti, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) jana usiku ilimtangaza Uhuru Kenyatta kuwa ndiye aliyeibuka na ushindi wa kiti cha rais wa nchi hiyo.
-
Uhuru Kenyatta atangazwa rasmi mshindi wa uchaguzi wa rais wa Kenya
Aug 11, 2017 22:59Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC imemtangaza rasmi Rais Uhuru Kenyatta mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika siku ya Jumanne ya tarehe 8 Agosti.
-
NASA: Tutakubali matokeo ya uchaguzi kwa masharti
Aug 11, 2017 12:38Muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya umetangaza kuwa utakubali matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika juzi kote nchini humo iwapo utaruhusiwa kutazama data za asili katika sava za kumputa za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo (IEBC).
-
EU yazitaka pande zote kuheshimu sheria nchini Kenya
Aug 11, 2017 11:23Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa unafuatilia kwa makini mwenendo wa uchaguzi wa hivi karibuni huko Kenya.
-
Taharuki Kenya huku matokeo ya uchaguzi wa urais yakisubiriwa kwa hamu
Aug 11, 2017 03:15Hali ya taharuki imetanda nchini Kenya huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini humo (IEBC) ikitazamiwa kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa urais wakati wowote tokeo sasa hii leo.
-
Upinzani Kenya waitaka IEBC imtangaze Raila Odinga mshindi wa uchaguzi wa urais
Aug 10, 2017 10:47Mrengo wa upinzani wa NASA nchini Kenya umeitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC imtangaze mgombea wa muungano huo Raila Odinga kuwa, mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo siku ya Jumanne.