Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • SAUTI: Rais Kenyata wa Kenya, nitaongezea asilimia 18 ya mshahara, pia Wakenya wasiende nchi za Kiarabu kufanya kazi za ndani

    SAUTI: Rais Kenyata wa Kenya, nitaongezea asilimia 18 ya mshahara, pia Wakenya wasiende nchi za Kiarabu kufanya kazi za ndani

    May 01, 2017 12:26

    Kwa mara ya kwanza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amehudhuria sherehe za wafanyakazi nchini humo Mei Mosi zilizoadhimishwa duniani kote hii leo.

  • Serikali ya Kenya yaja na mpango wa kuimarisha utalii 'Halal'

    Serikali ya Kenya yaja na mpango wa kuimarisha utalii 'Halal'

    Apr 30, 2017 11:44

    Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya imeazimia kuimarisha utalii 'Halal' ambao unalenga kuwavutia watalii Waislamu kwa kutoa huduma ambazo zinazingatia mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.

  • SAUTI, Muungano wa upinzani nchini Kenya, wategua kitendawili kwa kumtangaza rasmi mgombea wao kwenye uchaguzi ujao

    SAUTI, Muungano wa upinzani nchini Kenya, wategua kitendawili kwa kumtangaza rasmi mgombea wao kwenye uchaguzi ujao

    Apr 27, 2017 12:29

    Muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA umemtangaza rasmi aliyekuwa makamu wa rais wa wa nchi hiyo Raila Odinga, kupeperusha bendera ya upinzani katika uchaguzi ujao.

  • Muungano wa upinzani Kenya wamtangaza Raila Odinga kuwa mgombea wake wa urais

    Muungano wa upinzani Kenya wamtangaza Raila Odinga kuwa mgombea wake wa urais

    Apr 27, 2017 11:33

    Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA, hatimaye leo umemtangaza mgombea wake wa urais aliyekuwa akisubiriwa kwa muda mrefu. Muungano huo umemtangaza kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 8 mwaka huu.

  • Jeshi la Kenya: Tumewaua magaidi kadhaa wa ash-Shabab katika shambulizi la anga

    Jeshi la Kenya: Tumewaua magaidi kadhaa wa ash-Shabab katika shambulizi la anga

    Apr 25, 2017 10:45

    Jeshi la Kenya limetangaza kutekeleza shambulizi la anga katika ngome ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab la Somalia katika eneo la Jado nchini humo na kusababisha magaidi kadhaa kuuawa.

  • Kenya: Wanamgambo 52 wa al Shabab wameuawa Somalia

    Kenya: Wanamgambo 52 wa al Shabab wameuawa Somalia

    Apr 21, 2017 11:58

    Jeshi la Kenya limewauwa wanamgambo 52 wa kundi la kigaidi la al Shabab katika shambulio lililofanyika hii leo kwenye kambi ya kundi hilo kusini mwa Somalia.

  • Kenyatta awaonya wanaofanya njama za kuvuruga uchaguzi Kenya

    Kenyatta awaonya wanaofanya njama za kuvuruga uchaguzi Kenya

    Apr 20, 2017 23:45

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaonya watu aliosema wanafanya njama za kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwezi Agosti mwaka huu.

  • Iran na Kenya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

    Iran na Kenya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

    Apr 15, 2017 09:07

    Balozi wa Iran nchini Kenya amesisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa kiuchumi baina ya Tehran na Nairobi.

  • Kenya yatahadharisha juu ya uwezekano wa kufanyika mashambulizi ya kigaidi

    Kenya yatahadharisha juu ya uwezekano wa kufanyika mashambulizi ya kigaidi

    Apr 14, 2017 03:43

    Vyombo vya usalama vya Kenya vimetahadharisha juu ya uwezekano wa kufanyika mashambulizi ya kigaidi nchini humo.

  • SAUTI, mateso ya Wakenya ughaibuni yaifanya idara ya uhamiaji Kenya kupunguza mawakala wanaowafirisha raia wa nchi hiyo kwenda nchi za Kiarabu

    SAUTI, mateso ya Wakenya ughaibuni yaifanya idara ya uhamiaji Kenya kupunguza mawakala wanaowafirisha raia wa nchi hiyo kwenda nchi za Kiarabu

    Apr 13, 2017 12:31

    Idara ya uhamiaji nchini Kenya imepunguza mawakala wanaojihusisha na kusafirisha raia wa Kenya kwenda kufanya kazi katika mataifa ya Mashariki ya Kati kutoka 500 hadi 23 katika kile ilichokieleza kuwa ni kuleta uwajibikaji katika shughuli hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS