Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Nchi za mashariki mwa Afrika zaunda kikosi cha pamoja cha kijeshi

    Nchi za mashariki mwa Afrika zaunda kikosi cha pamoja cha kijeshi

    Apr 13, 2017 02:50

    Nchi 10 za mashariki mwa Afrika zimeunda kikosi cha pamoja cha kijeshi kitakachofahamika kama East Africa Standby Force (EASF).

  • Mahakama Kenya yasimamisha mpango wa kuajiriwa madaktari wa Tanzania

    Mahakama Kenya yasimamisha mpango wa kuajiriwa madaktari wa Tanzania

    Mar 31, 2017 10:33

    Mahakama ya Leba nchini Kenya imesimamisha mpango wa serikali wa kuwaajiri mamia ya madaktari kutoka nchi jirani ya Tanzania.

  • Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 3 wanahitajia msaada wa chakula

    Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 3 wanahitajia msaada wa chakula

    Mar 28, 2017 12:06

    Shirika la Msalaba Mwekundu limesema Kenya inahitajia msaada wa dharura wa chakula ili kunusuru maisha ya watu milioni 3 wanaokabiliwa na hatari ya kufa njaa kutokana na kushtadi ukame nchini humo.

  • Wanajeshi wa Kenya wawaangamiza wanamgambo 31 wa al Shabab

    Wanajeshi wa Kenya wawaangamiza wanamgambo 31 wa al Shabab

    Mar 27, 2017 08:58

    Wanajeshi wa Kenya nchini Somalia wamewauwa wanamgambo 31 wa kundi la kigaidi la al Shabab katika shambulio walilofanya katika kambi mbili za kundi hilo huko Jubbaland kusini mwa Somalia. Hayo yameelezwa leo Jumatatu na jeshi la Kenya.

  • Ulimwengu wa Michezo, Machi 27

    Ulimwengu wa Michezo, Machi 27

    Mar 27, 2017 06:36

    Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi...........

  • Tanzania kupeleka madaktari 500 Kenya kusaidia kukabiliana na mgomo

    Tanzania kupeleka madaktari 500 Kenya kusaidia kukabiliana na mgomo

    Mar 18, 2017 12:32

    Tanzania itapeleka madaktari 500 Kenya kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na athari za mgomo wa madaktari unaoendelea katika hospitali za umma.

  • NASA yatakiwa kutumia mfumo wa mlolongo kumteua mgombea urais Kenya

    NASA yatakiwa kutumia mfumo wa mlolongo kumteua mgombea urais Kenya

    Mar 16, 2017 10:55

    Muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya umetakiwa kutumia mfumo wa upigaji kura wa mlolongo kumteua mgomea kiti cha urais.

  • SAUTI: Rais Kenyatta: Sitomtusi mtu tena, mimi ni binaadamu, Lakini mpinzani atakayenichokoza atapata jibu lake kali

    SAUTI: Rais Kenyatta: Sitomtusi mtu tena, mimi ni binaadamu, Lakini mpinzani atakayenichokoza atapata jibu lake kali

    Mar 12, 2017 14:25

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaomba radhi raia wa nchi hiyo kwa kutumia lugha ya matusi, katika kukabiliana na wapinzani wake majukwaani.

  • Washukiwa 6 wa al Shabab watiwa nguvuni Malindi, Kenya

    Washukiwa 6 wa al Shabab watiwa nguvuni Malindi, Kenya

    Mar 11, 2017 13:19

    Polisi ya kupambana na ugaidi ya Kenya imewatia nguvuni watu 6 wanaoshukiwa kuwa magaidi wa kundi la al Shabab katika mji wa pwani wa Malindi.

  • SAUTI: Kufuatia Rais Kenyatta wa Kenya kujibizana vikali na kiongozi wa upinzani, sasa viongozi wa kisiasa watakiwa kuwa na subira

    SAUTI: Kufuatia Rais Kenyatta wa Kenya kujibizana vikali na kiongozi wa upinzani, sasa viongozi wa kisiasa watakiwa kuwa na subira

    Mar 10, 2017 13:51

    Muungano wa viongozi wa kidini nchini Kenya umetoa tahadhari ya kudhibiti ndimi za wanasiasa kunako kutoa maneno ya uchochezi pale wawapo majukwaani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS