-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 6, 2017
Mar 06, 2017 03:33Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio kadhaa muhimu ya michezi yaliyojiri katika muda wa siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi.......
-
Katibu Mkuu wa UN kuwasili leo Nairobi, mamilioni ya Wakenya wanasumbuliwa na njaa
Mar 05, 2017 00:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anatarajiwa kuwasili leo nchini Kenya katika safari ya kikazi ya siku mbili.
-
Vikosi vya usalama vya Kenya vyawekwa katika hali ya tahadhari baada ya mauaji ya Baringo
Feb 27, 2017 04:19Vikosi vya usalama vya Kenya vimewekwa katika hali ya tahadhari kaskazini magharibi mwa nchi hiyo baada ya kuongezeka mauaji katika Kaunti ya Baringo.
-
Kenya yaomba msaada kwa ajili ya kukabiliana na ukame
Feb 21, 2017 04:03Serikali ya Kenya imeomba msaada wa mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na ukame ulioikumba nchi hiyo.
-
Ulimwengu wa Michezo, Februari 13
Feb 13, 2017 04:37Mkusanyiko wa matukio kemkem ya spoti ndani ya siku saba zilizopita......................
-
Mahakama Kuu ya Kenya yabatilisha uamuzi wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab
Feb 09, 2017 13:18Mahakama Kuu ya Kenya imebatilisha mpango uliotangazwa na serikali ya nchi hiyo wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab.
-
Kenya kuimarisha sekta ya utalii Halal kwa ajili ya Waislamu
Feb 05, 2017 03:46Kenya imeanzisha mkakati wa huduma za 'Halal' za kitalii kwa ajli ya ongezeko la watalii Waislamu nchini humo.
-
SAUTI: Mahakama ya Haki na Uadilifu ya Kimataifa imetupilia mbali ombi la Kenya la kutaka kutosikilizwa kesi ya mpaka na Somalia
Feb 02, 2017 13:48Serikali ya Kenya imepoteza ombi lake katika mahakama ya kimataifa kuhusu masuala ya haki, baaya ya kuitaka mahakama hiyo kutosikiliza kesi kuhusu mpaka wake na Somalia.
-
Al-Shabaab yadai kuua askari 66 wa KDF Somalia, Kenya yakanusha
Jan 27, 2017 10:16Jeshi la Kenya limekadhibisha madai yaliyotolewa na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kwamba limeua makumi ya wanajeshi wa KDF katika kambi ya jeshi iliyoko katika mji wa Kulbiyow, kusini mwa Somalia.
-
SAUTI: Wakenya wa kabila la Wanubi walalamikia kusumbuliwa na serikali katika harakati za kusaka vitambulisho vya taifa kuelekea uchaguzi
Jan 24, 2017 13:48Wakenya wa kabila la Wanubi nchini Kenya wameilalamikia serikali kwa kuwasumbua katika harakati za kusaka vitambulisho vya taifa ambavyo vitawapa haki ya kushiriki uchaguzi wa mwezi Agosti mwaka huu.