-
Polisi mmoja auawa kaskazini mashariki mwa Kenya
Jan 23, 2017 11:38Jeshi la polisi nchini Kenya limetangaza habari ya kuuawa afisa mmoja wa polisi wakati wanamgambo wanaosadikiwa ni wa kundi la kigaidi la al Shabab walipotega mabomu katika benki moja na mikahawa miwli huko Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Rais wa Kenya atoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani
Jan 21, 2017 04:29Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani.
-
SAUTI: Awamu nyingine ya uandikishaji wa wapigakura nchini Kenya imeanza Jumatatu hii chini ya anga ya tuhuma za wapinzani
Jan 16, 2017 13:49Awamu ya pili ya zoezi la kitaifa la usajili wa wapigakura nchini Kenya limeanza rasmi Jumatatu hii.
-
SAUTI: Serikali ya Kenya yasema, Tumegundua genge la vijana wanaopatiwa mafunzo ya utumiaji silaha haramu kuelekea uchaguzi
Jan 14, 2017 13:41Serikali ya Kenya imetangaza kupata ripoti kamilifu za kijasusi kuhusu vijana wanaopata mafunzo ya utumiaji wa silaha kama vile bastola na bunduki.
-
Jamii ya Asia inayoishi Kenya yataka kutambuliwa kama kabila la 44
Jan 13, 2017 04:15Wakenya wenye asili ya Asia wameitaka serikali ya Kenya iwatambue kama kabila la 44 na kuwapa haki zao za msingi.
-
SAUTI: Kenya yaonya kuhusu umiliki wa silaha ndogondogo haramu kuelekea uchaguzi
Jan 12, 2017 14:30Serikali ya Kenya imeapa kukabiliana na swala la ongezeko la silaha ndogondogo miongoni mwa wananchi wake huku taifa hilo likijiandaa kwa ajili ya uhaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 9
Jan 09, 2017 02:58Mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo ndani ya siku saba zilizopita......
-
Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 2.4 katika hatari ya kufa njaa
Jan 07, 2017 04:08Shirika la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa, mamilioni ya Wakenya wapo katika hatari ya kukumbana na baa la njaa katika miezi michache ijayo.
-
Madaktari nchini Kenya wakataa nyongeza ya mishahara ya Rais Kenyatta
Jan 06, 2017 10:23Madaktari nchini Kenya wamekataa nyongeza ya karibuni zaidi iliyopendekezwa na Rais Uhuru Kenyatta ikiwa ni katika juhudi za kujaribu kumaliza mgomo wa madaktari na wahudumu wa afya ambao umedumu kwa mwezi mmoja sasa.
-
Umasikini wapungua Kenya kupitia huduma za pesa kwa simu za mkononi
Jan 06, 2017 04:39Kenya imefanikiwa kupunguza umasikini nchini humo kwa kueneza utumizi wa huduma za pesa kwa simu za mkononi.