SAUTI: Kenya yaonya kuhusu umiliki wa silaha ndogondogo haramu kuelekea uchaguzi
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i23359-sauti_kenya_yaonya_kuhusu_umiliki_wa_silaha_ndogondogo_haramu_kuelekea_uchaguzi
Serikali ya Kenya imeapa kukabiliana na swala la ongezeko la silaha ndogondogo miongoni mwa wananchi wake huku taifa hilo likijiandaa kwa ajili ya uhaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jan 12, 2017 14:30 UTC

Serikali ya Kenya imeapa kukabiliana na swala la ongezeko la silaha ndogondogo miongoni mwa wananchi wake huku taifa hilo likijiandaa kwa ajili ya uhaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu.

Kwa muujibu wa serikali ya Nairobi ongezeko la umiliki wa  silaha ndogondogo kinyume cha sheria umekuwa ukishuhudiwa hasa kipindi cha kampeni kama hatua ya kutisha wafuasi wa vyama vya upinzani katika ngome zao.

Kenya na shughuli za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Tujiunge na mwandishi wetu wa jijini Mombasa Seifullah Murtadha kwa taarifa kamili………../