-
Wakimbizi waliorejeshwa Somalia wataka kurejea Dadaab
Dec 27, 2016 11:22Akthari ya wakimbizi wa Kisomali waliorejeshwa kwa khiari nchini Somalia wamesema ahadi walizopewa kabla ya kurejeshwa nchini humo hazijatekelezwa na sasa baadhi yao wanataka kurejea katika kambi ya Dadaab nchini Kenya.
-
Kenya yazidisha usalama sherehe za Krismasi na mwaka mpya wa 2017
Dec 25, 2016 12:27Vyombo vya usalama vya Kenya vimechukua hatua kali za kulinda usalama sambamba na sherehe za Krismasi na mwaka mpya wa 2017 kwa ajili ya kukabiliana na tishio lolote la kigaidi.
-
Indhari ya Odinga juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini Kenya
Dec 23, 2016 13:14Huku vuta nikuvute baina ya serikali na mrengo wa upinzani nchini Kenya kuhusiana na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 ukiwa unaendelea, kinara wa muungano wa upinzani wa CORD Raila Odinga ametahadharisha tena juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini humo.
-
Viongozi wa kidini Kenya wamtaka Uhuru asiidhinishe marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi
Dec 23, 2016 12:55Viongozi wa kidini nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo asisaini muswada wa marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi ambao uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa hapo jana.
-
Iran yaishukuru Kenya kwa kuwaachia huru raia wake waliokamatwa kimakosa
Dec 16, 2016 04:51Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeishukuru serikali ya Kenya kwa kuwaachia huru mawakili wawili raia wa nchi hii waliokamatwa kimakosa na polisi katika mji mkuu Nairobi, wiki mbili zilizopita.
-
SID: Serikali ya Jubilee nchini Kenya imeshindwa kupambana na ufisadi
Dec 15, 2016 03:23Shirika la kutetea haki za umma la SID limetangaza kuwa SERIKALI ya Jubilee nchini Kenya imetimiza ahadi moja pekee kati ya 30 ilizotoa kuhusiana na mikakati ya kupambana na ufisadi.
-
Kenyatta: Kenya inatathmini kwa kina mpango wa kujiondoa ICC
Dec 13, 2016 04:10Kwa mara nyingine tena Kenya imeweka bayana azma ya kuangalia upya uhusiano wake na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Kenya yakanusha madai ya kutekwa mji wake mpakani na Somalia
Dec 12, 2016 03:38Vyombo vya usalama nchini Kenya vimekadhibisha habari zilizoenea katika mitandao ya kijamii kuwa mji wa Elwak ulioko katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia umetekwa na wanamgambo wa kigaidi wa al-Shabaab.
-
Jumatatu, 12 Disemba, 2016
Dec 12, 2016 01:36Leo ni Jumatatu tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 12, 2016.
-
Ajali ya lori la mafuta yaua watu wasiopungua 25 nchini Kenya
Dec 11, 2016 00:09Mripuko wa lori lililobeba shehena ya mafuta katika barabara moja kuu nchini Kenya umeua watu wasiopungua 25.