-
Njama za Marekani za kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la UN
Jun 26, 2020 02:32Marekani imeanzisha kampeni kubwa za kimataifa za kulizuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lisitekeleze azimio lake nambari 2231 linalotoa amri ya kuiondolea Iran vikwazo vya silaha ifikapo tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020. Marekani inaendesha njama hizo kama sehemu ya kukabiliana na uwezo mkubwa wa kiulinzi na kijeshi wa Iran unaozidi kukua na kuwa imara siku baada ya siku.
-
Kumalizika mapema mazungumzo ya Marekani na Russia kuhusu udhibiti wa silaha za nyuklia
Jun 24, 2020 02:31Moja ya hitilafu kubwa na za kimsingi za Russia na Marekani kuhusiana na kuongezwa muda wa mikataba ya kudhibiti silaha inahusiana na mkataba wa kistratijia wa silaha za nyuklia wa New START.
-
Duru mpya ya mazungumzo Libya kwa ajili ya kurejesha amani nchini humo
Jun 02, 2020 11:34Vita vya ndani vingali vinaendelea nchini Libya na makundi mawili makuu hasimu yamekuwa yakitwaa na kufukuzwa katika maeneo ya kistratijia kwa zamu. Hali hiyo pia imezidisha uingiliaji kati ya nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya Libya.
-
Hitilafu za Russia na Saudia kuhusiana na bidhaa ya mafuta zaahirisha mkutano wa OPEC+
Apr 06, 2020 06:01Vita vya bei ya mafuta baina ya Russia na Saudi Arabia vilivyoanza baada ya kufeli mkutano wa mwanzoni mwa mwezi Machi uliopita wa OPEC+ mjini Vienna vimesababisha kuporomoka kwa bei ya bidhaa hiyo kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipini cha miaka 18 iliyopita.
-
Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi
Mar 01, 2020 10:39Uingiliaji wa wazi wa askari wa Uturuki katika mkoa wa Idlib nchini Syria, katika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zake mkoani humo, umepata uungaji mkono wa Wamagharibi.
-
Rouhani: Vikwazo dhidi ya Iran havikuwa na faida kwa maadui
Feb 16, 2020 14:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa dhidi ya taifa la Iran havina faida kwa maadui na kuongeza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu imevuka vikwazo vya kiwango cha juu vya Marekani.
-
Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe
Jan 24, 2020 06:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi zinazopakana na Libya huko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwamba, wale wote wasioheshimu usitishaji vita nchini Libya inabidi wawekewe vikwazo za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mkutano wa Berlin na jitihada za kuhitimisha mgogoro wa Libya
Jan 21, 2020 06:58Vita vingali vinaendelea nchini Libya wakati jitihada zinazofanywa kikanda na kimataifa za kukomesha mapigano katika nchi hiyo zikiingia katika awamu mpya.
-
Mkutano wa BRICS na tahadhari ya Putin kuhusu vikwazo vya Marekani
Nov 15, 2019 06:38Viongozi wa nchi wanachama katika jumuiya ya BRICS unayojumuisha nchi tano za Russia, Brazil, China, India na Afrika Kusini wamekutana katika mji mkuu wa Brazil, Brasilia. Mkutano huo umefanyika katika siku za tarehe 13 na 14 na ulilenga kupanua zaidi ushirikiano wa masuala ya kifedha na kiuchuni baina ya nchi wanachama na kuleta mabadiliko katika muundo wa sasa wa kimataifa.
-
Sisitizo la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa EU juu ya kulinda makubaliano ya JCPOA na kuimarisha usalama wa Ghuba ya Uajemi
Aug 31, 2019 12:10Umoja wa Ulaya pamoja na Troika ya Ulaya zikiwa wanachama wa kundi la 4+1 mara kadhaa zimesisitiza kuwa kuna udharura wa kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na wakati huo huo kurejesha uthabiti na usalama katika Ghuba ya Uajemi kwa kuzingatia chokochoko za Marekani katika eneo hilo la maji lenye umuhimu wa kijio-stratejia.