-
Ukosoaji wa Mkuu wa Baraza Ulaya dhidi ya siasa za kuzusha mizozo za Rais Donald Trump
Aug 26, 2019 08:15Siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani katika nyanja mbalimbali hususan kuiondoa Washington katika mikataba na makubaliano ya kimataifa kama ya nyuklia ya JCPOA, mkataba wa mabadiliko ya tabianchi wa Paris Ufaransa na vilevile hatua yake ya kung'ang'ania kuwa na vita vya kibiashara na madola mengine makubwa kiuchumi duniani, ni mambo ambayo yamepelekea kuibuka mizozo mikubwa katika uga wa kimataifa.
-
Kushner akiri: Mkutano wa kuzindua "Muamala wa Karne" Bahrain umefeli
Jul 08, 2019 10:36Jared Kushner, mkwe wa Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kwamba, Waplestina wameufanya mkutano wa kiuchumi wa Bahrain, uliokuwa umeitishwa kuzindua mpango wa Mualama wa Karne dhidi ya taifa la Palestina, ushindwe na kufeli.
-
Iraq: Marekani ihitimishe siasa zake za kupenda vita na ifuate njia ya mazungumzo
Jun 03, 2019 04:18Rais Barham Ahmed Salih wa Iraq ameitaka serikali ya Marekani kuhitimisha siasa zake za kupenda vita na kuibua mizozo kupitia miamala yake hasi katika eneo la Asia Magharibi na badala yake ifuate mkondo wa mazungumzo.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq: Kuna baadhi hawaoni mambo mema ya Iran
Jun 02, 2019 02:36Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq, Nouri al-Maliki amesema kuwa, baadhi ya viongozi wa nchi za Kiarabu ni wakaidi kupindukia na wanajifanya hawaoni nafasi muhimu na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kadhia ya Palestina na kupigania kwake usalama wa mataifa ya eneo hili.
-
Amir wa Qatar hatoshiriki kikao cha Makka
May 30, 2019 08:17Amir wa Qatar amekataa ombi la mfalme wa Saudi Arabia la kufanya safari katika mji wa Makka na badala yake amemtuma Waziri wake Mkuu kumwakilisha huko Saudia.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya na sisitizo la kutekelezwa makubaliano ya JCPOA
May 15, 2019 02:17Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) daima zimekuwa zikiunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kutekelezwa kwake.
-
Kikao cha pande nne cha London na uungaji mkono juu ya kudumishwa vita vya Yemen
Apr 30, 2019 04:02Tokea mwezi Machi 2015 Saudi Arabia ikishirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, zimekuwa zikiendesha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen. Marekani na Uingereza pia zimekuwa na mchango mkubwa katika vita hivyo kwa kuzipa nchi mbili hizo za Kiarabu msaada mkubwa wa kilojistiki, habari za siri na kijeshi.
-
Kikao cha muungano unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) na madai ya kukaririwa ya Washington
Feb 08, 2019 06:56Tarehe 19 Disemba mwaka jana Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza kwamba askari wa Marekani wataanza kuondoka Syria.
-
Mogherini: Sitokwenda katika kikao cha Warsaw
Jan 22, 2019 02:47Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ametangaza kuwa hatashiriki kikao kilicho dhidi ya Iran kilichoitishwa na Marekani huko Warsaw, mji mkuu wa Poland.
-
Kikao cha Kimataifa cha Mazungumzo ya Mediterania na juhudi za kutatua matatizo yaliyopo
Nov 25, 2018 03:42Kikao cha Kimataifa cha Mazungumzo ya Mediterania kimefanyika kwa kuhudhuriwa na wawakilishi kutoka nchi 56 duniani huku ajenda kuu ikiwa ni matatizo yanayozisibu nchi za pambizoni mwa Bahari ya Mediterania hususan Libya na Syria.