-
Kikao cha Umoja wa Afrika na juhudi za kurekebisha muundo wake
Nov 19, 2018 04:14Kikao cha dharura cha Umoja wa Afrika kimeanza huko Addis Ababa mji mkuu wa Ethiopia huku viongozi wa umoja huo wakifanya juhudi za kurekebisha muundo wake ili waweze kupata fursa zaidi za utatuzi wa pamoja na kuongeza ushirikiano wa nchi za bara hilo.
-
Kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi yajadiliwa katika kikao cha haki za binaadamu mjini Paris
Oct 31, 2018 02:27Kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkoasoaji wa utawala wa Saudi Arabia, imepewa uzingatiaji na kikao cha dunia cha haki za binaadamu mjini Paris, Ufaransa.
-
Uungaji mkono wa wakuu wa nchi za Asia na Ulaya kwa makubaliano ya JCPOA
Oct 20, 2018 12:01Japokuwa Marekani ni miongoni mwa nchi sita ambazo zilifikia makubaliano ya nyuklia na Iran katika kalibu ya nchi zinazounda kundi la 5+1 mwezi Januari mwaka 2015 lakini Rais Donald Trump wa nchi hiyo ameonekana akichukua msimamo wa kuyapinga makubaliano hayo; huku akiyataja kuwa ni makubaliano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa.
-
Kukwama Umoja wa Ulaya katika suala la kujitoa Uingereza kwenye umoja huo
Oct 19, 2018 13:24Tukio muhimu kabisa lililotokea nchini Uingereza katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na kuleta taathira kubwa za ndani, za kieneo na za kimataifa ni hatua yake ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kwa jina la Brexit.
-
Viongozi wakuu wa Korea Kusini na Kaskazini kukutana wiki ijayo mjini Pyongyang
Sep 11, 2018 04:38Ofisi ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini imetangaza kwamba, mutano wa tatu wa pamoja kati ya viongozi wakuu wa Korea mbili, utafanyika kuanzia tarehe 18 hadi 20 ya mwezi huu mjini Pyongyang, mji mkuu wa Korea Kaskazini.
-
Russia: Iran iko kihalali nchini Syria na sisi tunaliheshimu hilo
Aug 25, 2018 02:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov amesema kuwa nchi yake inaheshimu uwepo wa Iran nchini Syria kwani iko huko kihalali na kwa mwaliko wa serikali halali ya nchi hiyo.
-
Aziz Ahmed Fanus: Saudia inalinda maslahi ya Marekani nchini Afghanistan
Jul 16, 2018 04:16Mtaalamu wa masuala ya kisiasa na kieneo wa nchini Afghanistan ambaye pia ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa, Saudi Arabia inalinda kikamilifu maslahi na malengo ya Marekani nchini Afghanistan.
-
Trump aibua mifarakano katika muungano wa kijeshi wa NATO
Jul 12, 2018 09:33Siku ya kwanza ya kikao cha viongozi wa muungano wa kijeshi wa nchi za Magharibi, NATO, imemalizika huku mkutano huo ukishuhudia mashambulizi makali ya maneno ambayo hayajawahi kushuhudiwa ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Ujerumani, moja kati ya nchi muhimu zaidi katika muungano huo wa NATO.
-
Kufeli ngao ya makombora ya Israel kwamlazimu Netanyahu kuitisha kikao cha dharura
May 29, 2018 08:12Kufuatia kushindwa ngao ya makombora ya utawala haramu wa Israel kuzuia makombora yanayovurumishwa na muqawama kwenda ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ameitisha kikao cha dharura cha baraza lake la mawaziri kwa ajili ya kujadili suala hilo.
-
Kikao cha majirani wa Libya nchini Algeria
May 23, 2018 02:45Nchi zinazopakana na Libya zimeitisha kikao huko Algeria kwa ajili ya kuchungua mgogoro wa nchi hiyo na kutafuta njia za kuyakutanisha pamoja makundi mbalimbali kwa ajili ya kuleta umoja wa kitaifa nchini Libya.